Naomba kujua alipo mwanaCCM Jerry Silaa

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,756
2,000
Wakuu ni muda mrefu huyu kijana wetu hajasikika tangu utawala huu uingie madarakani, nafahamu pia hapo wakati waJK hawakuwa na uhusiano mzuri, tatizo langu ni kwamba hata kama amestaafu siasa basi angalao tungesikia anafanya biashara zake au yupo nje ya nchi n.k., tunaomba anayefahamu atujuze ili tuweke kumbukumbu vizuri

Updates
Wakuu nashukuru kuna mdau ametukumbusha Jerry Silaa: Magufuli acha ubabe! - JamiiForums
 
Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
2,759
2,000
Wakuu ni muda mrefu huyu kijana wetu hajasikika tangu utawala huu uingie madarakani, nafahamu pia hapo wakati waJK hawakuwa na uhusiano mzuri, tatizo langu ni kwamba hata kama amestaafu siasa basi angalao tungesikia anafanya biashara zake au yupo nje ya nchi n.k., tunaomba anayefahamu atujuze ili tuweke kumbukumbu vizuri
NA DR STEVEN ULIMBOKA !!
 
ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,444
2,000
Kuna siku tulikula nae chakula Kilwa masoko..walikua kwenye gari ndogo wanaenda kutafuta fursa ya kilimo huko kusini. Nilimtania vp Mkuu unainaje matumizi mabaya ya madaraka ? nakumbuka enzi hizo akiwa meya ukiwa na kosa ukampigia Jerry simu unaachwa fasta.

Vijana wengi wanapotea kwa sababu ya ulimbukeni wa vyeo.
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,566
2,000
Mkuu naomba kujua analima, anafanya biashara n.k. au ametekwa huwezi kujua
Huyu yupo Dar Es Salaam, na bado yupo katika "kamati kuu ya wana lumumba" na ni mjumbe wa NEC TAIFA.

Kwasasa anafanya shughuli zake za kibiashara (baadhi alizoachiwa na marehem mzee wake R.I.P Mzee Slaa na zakwake mwenyewe) pamoja na kufanya kazi za lumumba.

Ana akili sana kukaa kimya, angekua muongeaji ongeaji hovyo basi angekua kaishatumbuliwa zaman. Sambamba na kutokubali cheo chochote kama vile ukuu wa mkoa n.k (angejichafulia jina).
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom