5W30 full thytheticJamani hi,
Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza itumike kwenye engine. Manual ni kijapan kitupu. Hainisaidii.
Nawasilisha.
Zipo za 5000 zipo za 10000 utachagua mwenyewe mi gari yangu natia ya 10000 ipo inarangi ya kijaniAhsante sana. Lakini, baada ya km ngapi unabadilisha?
Usivushe mpaka km 5000Ni kweli engine ni 1NZ vvti. Recommended ni kilometa ngapi unabadilisha?
Nimeipenda hiyo ni ya kampuni gani na bei yake wastani ni shilingi ngapi kwa lita 4 ? Na unatumia Filter gani inayoweza kustahimili izo km ?Zipo za 5000 zipo za 10000 utachagua mwenyewe mi gari yangu natia ya 10000 ipo inarangi ya kijani
Chasis number ni NCP59-0003329. Sakanya yafuatayo boss wangu:-weke chasis number tukichekie kwenye catalog
Peleka kwenye sehem ambazo ni classic wanajua wao filter zake elf30 kwa passo yangu ila oil ni elf 35 had 40 kwa liyaView attachment 2707272Nimeipenda hiyo ni ya kampuni gani na bei yake wastani ni shilingi ngapi kwa lita 4 ? Na unatumia Filter gani inayoweza kustahimili izo km ?
We si uingie Google au mwenzetu umefuga ujinga kichwaniJamani hi,
Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza itumike kwenye engine. Manual ni kijapan kitupu. Hainisaidii.
Nawasilisha.
Unauliza vitu vidogo soma hiyo engine namba halafa search oil gani kwa hiyo engineEee, kama ulikuwepo. Nimefuga ujinga kichwani. Nitolee nielevuke kama wewe.
Hatulingani wala hatufanani ndugu yangu. Kwako vinaweza kuwa vitu vidogo lakini kwa mwingine hususani mimi ni vikubwa. Kwa hiyo tuvumilianeni tu, tueleweshane.Unauliza vitu vidogo soma hiyo engine namba halafa search oil gani kwa hiyo engine
sasa ndio maana mnapigwa au kusign mkataba mibovu binadamu tena mwanamue lazima kujuongezaHatulingani wala hatufanani ndugu yangu. Kwako vinaweza kuwa vitu vidogo lakini kwa mwingine hususani mimi ni vikubwa. Kwa hiyo tuvumilianeni tu, tueleweshane.