Naomba kujibiwa...

Umenikumbusha kitu muhimu sana. Siku moja kuna mtu alikuwa anaoga mtoni nguo kaziweka kando, basi alipita mwendawazimu kavaa marapurapu na kuzichukua zile nguo za jamaa na kutimka nazo mbioo. Basi jamaa akiwa uchi akaanza kumkimbiza yule chizi. Sasa sie mashuhuda huku njiani unajua tulikuwa tunatafsiri vipi.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…