Chagua moja unaloliona linafaa.Kwahiyo wewe unanipa jibu lipi?
Mkuu naomba uelewe hii kauli ya yeye kuwa kichaa kaitoa wakati gani. Kuna watu hawakutekeleza wajibu wao ndo akasema kama wao hawatekelezi wajibu wao wanajifanya vichaa nae atajifanya vichaa Zaidi yao ili wamuelewe. Yeye hakusema yeye kichaa kulingana na sentensi aliyoanza nayo.Ng'ombe anayechelewesha msafara ni yule wa mbele lakini mchungaji anamtandika ng'ombe wa nyuma bakora nyingi. Huyu mchungaji ndio tafsiri sahihi ya kichaa
Ni tatizo la sifa..! [emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]Habari zenu wadau,
Nisipoteze muda nilitaka kujibiwa swali hili la hii katuni karibuni kwa majibu.
Sifa pia ni tatizo la bulangata... Dr wako bado yuko sahihiUsikwepe jibu kaka, mbona nasikia eti nitatizo la ubongo?. Au huyu dk kanidanganya?.
Haswaa ndivyo ilivyoHapo napata faraja kua tunaongozwa na mgonjwa wa akili.
Mkubwa sana!? [emoji87][emoji87][emoji87]mkubwa kabisa? 😳 😳 😳 [emoji125][emoji125][emoji125]Hapo sawa maana nilitaka nikagombane nae kwa kuniona namimi ni kiongozi mkubwa serekalini.