naomba kuingia ktk familia ya cc

Karibu sana upate na juice na mapochopocho kibao ngoja nikakuletee cocktail ok. Ila ID utadhanj ni me
 
Hata muandiko wako wa kikekike , labda nikimalizia kuiona miondoko yako ndo ntakofam !
Bila shaka utakua unatupa mawe moja-moja !
 
Uwiii mpaka muondoko mnakagua

Inategemea na agenda za wakaguaji !
Wako vijana tumewapa majukumu ya ukaguzi .
Wakishakagua then wana return details kwa sisi wazee .
Afu wazee ndo tunafanya mambo yetu .
 
Inategemea na agenda za wakaguaji !
Wako vijana tumewapa majukumu ya ukaguzi .
Wakishakagua then wana return details kwa sisi wazee .
Afu wazee ndo tunafanya mambo yetu .

hivi we ulikuwaga wapi kunifanyia mambo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…