Naomba kuijua CV ya Samson Mwigamba

Naomba kuijua CV ya Samson Mwigamba

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
3,098
Reaction score
631
Wana JF,
Nani anamjua vizuri ndg Samson Mwigamba. Naomba atuwekee CV yake hapa jf
tupate kumfahamu vizuri.

Mandla
 
We uliacha kwenda shule unabaki kutafuta CV za wenzio! Sasa ukiijua itakusaidia nini?
 
Wana JF,
Nani anamjua vizuri ndg Samson Mwigamba. Naomba atuwekee CV yake hapa jf
tupate kumfahamu vizuri.

Mandla

Ni katibu wa chama gani? Kweli maajabu Bongo hayatakaa yaishe.
 
Samson mwigamba alikuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha, wakamuogopa kwa sababu ya elimu yake kubwa wakidhani atawanyang'anya madaraka, sasa ni katibu mkuu wa ACT
 
Ana CPA ya uhasibu ndio mana alikuwa mhasibu mkuu wa chadema
 
Mwigamba ndio amebeba jeneza la wauwaji chadema
 
Samson mwigamba alikuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha, wakamuogopa kwa sababu ya elimu yake kubwa wakidhani atawanyang'anya madaraka, sasa ni katibu mkuu wa ACT
Yawezekana ukawa na uhusiano wa karibu sana na Mwigamba kwa jinsi unavyomwelezea kwa ufasaha! Ni mkewe nini?
 
Ana CPA ya uhasibu ndio mana alikuwa mhasibu mkuu wa chadema

mwigamba ni msomi sana. elimu yake ilikuwa inawatisha sana vilaza mbowe na lema. wakaamua kumtengenezea fitina
 
Hivi watanzania tuwaamini vp watu ambao ndani ya mwaka moja ameshakuwa kiongozi vyama viwili tofauti? Na yule mwenyekiti wa ACT naye tunaambiwa ni Katibu mkuu wa ADC, kuna vituko tanzania
 
Inamaana wewe unayetaka CV inasaidia nini hebu late CV yako hapa kwanza
 
Back
Top Bottom