Mbona watu chadema na bavicha mnamuogopa sana Samson Mwigamba??
Kwasababu ana CPA ya uhasibu.
(According to ifweero)
Last edited by a moderator:
Mbona watu chadema na bavicha mnamuogopa sana Samson Mwigamba??
Cv zao wamefichiana ya mwigamba anayo zitto ya zitto anayo kitila
Ila wakamtimua kwenye hiyo nafasi ya uhasibu na kumuweka Josephine Mahimbo!
Na viongozi wengi wa chadema elimu ni tatizo... Ukiwa na elimu nzuri hupewi cheo au nafasi.
mchange CHAUMA imekushinda? Bro unatapatapa saaana!.... CCM unakitengo gani?ACT mkombozi wa kweli
cv yake for what unataka kumuajiri
dawa ya mpuuzi anayeleta upuuzi kama huu ulioleta ni kumpuuza tu!!!!!!!....Weka ya Mbowe kwanza! Umekaa kizabinazabina mtoto wa kiume ati CV ya Mwigamba! Weka na yako basi! Muulize Dr Slaa au Mbowe wanamfahamu vyema au kurugenzi ya habari ya Chamdomo
ha ha ha josephin ni mjanja sana,,, sasa hivi anamchuna dr.slaa akifilisika tu anarudi kwa mumewe wa ndoa mahimbo
Nataka kujua wasifu wake...
Weka ya Mbowe kwanza! Umekaa kizabinazabina mtoto wa kiume ati CV ya Mwigamba! Weka na yako basi! Muulize Dr Slaa au Mbowe wanamfahamu vyema au kurugenzi ya habari ya Chamdomo
CPA ya uhasibu!??, huwa kuna CPA nyingine ya nini?Ana CPA ya uhasibu ndio mana alikuwa mhasibu mkuu wa chadema
Duuu!!, ACT ndiyo mkombozi wenu wanaCCM?, maajabu huwa hayaishi duniani.ACT mkombozi wa kweli
mwigamba ni msomi sana. elimu yake ilikuwa inawatisha sana vilaza mbowe na lema. wakaamua kumtengenezea fitina
Samson mwigamba alikuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha, wakamuogopa kwa sababu ya elimu yake kubwa wakidhani atawanyang'anya madaraka, sasa ni katibu mkuu wa ACT
Mwigamba ndio amebeba jeneza la wauwaji chadema