mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Habari wadau naomba kueleweshwa matumizi ya hiki kifaa
H[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Una meza na maji ya uvugu vugu, kutwa mara tatu
Hivi hiyo router haina limit ????Mkuu icho kifaa kinakupa uwezo wa kutumia Internet kwa njia ya Wi Fi.Hivyo weka laini yenye bando then kiwashe na uanze kutumia. Faida yake ni kwamba unaweza tumia simu, computer, na tv yako ya smart kwa mda huo huo kwenye Internet moja iyo iyo. Na pia ukaunga na family yako.
No hiyo ina limit. Aprox 10 client.Hivi hiyo router haina limit ????
Kwa mfano kama ni kompyuta ziishie kumi...na kama ni simu ziishie kumi vilevile au???No hiyo ina limit. Aprox 10 client.
Yah! ila unaweza unga computer, simu au tv ya smart kwa wakati mmoja ila ivyo vifaa visivuke maximum ya client wanaohitajika. Sina uhakika sana kama bado ni 10 au 15Kwa mfano kama ni kompyuta ziishie kumi...na kama ni simu ziishie kumi vilevile au???
KUna meza na maji ya uvugu vugu, kutwa mara tatu
AsanteMkuu icho kifaa kinakupa uwezo wa kutumia Internet kwa njia ya Wi Fi.Hivyo weka laini yenye bando then kiwashe na uanze kutumia. Faida yake ni kwamba unaweza tumia simu, computer, na tv yako ya smart kwa mda huo huo kwenye Internet moja iyo iyo. Na pia ukaunga na family yako.