Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Muulize pia ndoa ni nini? Na cosmogony yake ni ipi? Na kwa nini anabagua ndoa za watu? Na yeye kinamuhusu nini kama watu wanaoana wakiwa na watoto au wajukuu? Na kwa nini atake ku impose world view yake kwa watu wengine? Wakija wengine kumwambia aingie kwenye ndoa ya jinsia moja atakubali? Kama atakubali mbona hiyo hajaiweka? Kama hatakubali kwa nini asikubali kuletewa ndoa asiyoitaka lakini yeye anataka kuwapelekea wenzake ndoa anayoitaka yeye? Kashawahi kusikia heri nusu shari kuliko shari kamili? Hao wanaopeana mimba na kujuana kimwili kabla ya ndoa wakisema wasioane kwa sababu hiyo atawaoa na kuolewa nao wote yeye?
A behemoth of a busybody with abhorrent absurdities, monstrous macabre moralities bearing bullying cacophonies of comedic calumny dusted with the disguise of a puritan police.
Imekugusa sana!
Mie burlesk yoyote anayejifanya holier than thou na kuja ku-impose worldview yake kwa watu wengine kwa sababu tu yeye yupo katika utumwa fulani anataka kila mtu awe mtumwa wa dini au utamaduni fulani, bila ya kujua hao wengine wako katika maisha gani lazima aniguse.
Chochote nitakachoamua kukijibu hapa kimenigusa, kisingenigusa nisingejibu.
Kama vile itakavyonigusa nikisikia yeye kalazimishwa kuzalishwa bila ndoa, wakati imani yake ni kufunga ndoa kwanza.
At the bottom of it all sipendi kuona mtu mzima mmoja anampangia mwingine maisha.
Inabidi tuache habari za kuwa nosy nosy busybodies.Kwa mtindo huu si ajabu mtu akaanza kupekua kwenye ma garbage cans kuangalia nani kala mayai na nani kala kauzu.
Word! i like your thinking
Hao hao wanaojitia umajununi na ukanisani sana na kupigia chafya ndoa za wenzao eti kwa sababu wana mtoto au wamejuana kimwili inaonekana hawajaelewa msingi wa dini, hususan ukristo, ambao umejengwa katika inclusion, kukubali kwamba binadamu ni dhaifu na kusameheana makosa.
Ama hawasemi sala ya bwana, ama hawaelewi maana ya "Utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea"
Maana yake, kama unaamini mungu, ukiwa mgumu kusamehe hata hao wanaokukwaza, basi unamwambia mungu naye awe mgumu kukusamehe wewe.Maana ya sala hii sio kuomba msamaha tu, bali kuomba msamaha kwa mizani.Mungu akusamehe kwa kiasi kile kile unavyowasamehe waliokukosea.
Huyo Yesu mwenyewe alipoona Magdalena amebaguliwa kwa sababu ni "loose ball" fulani hakuona noma kujimix naye, alipoona watoza ushuru wanataka kumfuata hakuona haramu kujimix nao.
Hizi hoity toity airs inabidi zisome biblia kwanza kabla ya kujiumbua kwa kukosa ustaarabu secular na wa kidini.
Mbaya zaidi ni pale unapoletewa kadi ya mchango eti wa harusi wakati mtu ameamua kumuoa mke wake, na wengine wanaandaliwa kitchen party wakati wameshakubuhu kwenye maisha ya kuishi mume na mke. Kwa upande wngu mimi naona sio sawa, huu ni wizi wa hiari.
King'asti hapo kwenye redi imekaaje bana? nakuja na kapu mtumishi...................Lakini usimhukumu mtu alietanguliza tumbo la mimba, kama alitubu kabla hata mimba haijatunga na kukamata kuta za placenta, basi wewe unashikia bango na shetani na Mungi wanaulizana 'huyu anaongelea dhambi ipi?' Manake dhamvi zinafutwa kabisaa na kuwekwa mbali kama mashariki ilivyo mbali na magharibi
Mungi leta kapu la sadaka tafadhali. Nakunywa maji narudi
charminglady, kama muamini naomba kwanza nimfyagilie Mungu wangu kwa style ya Natalia anavyomfagilia rutherford wake. Mungu ni wa rehema na fadhili, na hafurahii dhambi. Ndo maana wachungaji wenye busara zao wamefika mahali wanafanya ndoa za mafungu ili kusaidia kupunguzia gharama wale wasiopenda kuishi bila ndoa na hawana uwezo wa kufurahisha watu. Awali ni awali, kwa Mungu ujira wa alieingia shmbani 5pm, ama 6am ni ule ule.
Lakini nikukumbushe kuwa utaratibu wa harusi ni utamaduni wetu tu uliojaa mapokeo na manjonjo. Enzi za harusi ya kana kulikuwa na hekalu na makuhani, lakini kina yakobo walienda kutumikia mahari wakajitwalia. Na kina Esther waliulizwa utakwenda na mtu huyu (sio na kuhani bali wazazi), alipoitikia akakipa na kupelekwa kwa mumewe. Nataka kukuambia huko kwa Mungu hukumu ni tofauti kabisa, ndo maana tunaambiwa judge not.
Huu utaratibu wa kanisani ni kwa ajili ya kuleta discipline tu nadhani, na kuhakikisha hakuna kutapeliana. Lakini usimhukumu mtu alietanguliza tumbo la mimba, kama alitubu kabla hata mimba haijatunga na kukamata kuta za placenta, basi wewe unashikia bango na shetani na Mungi wanaulizana 'huyu anaongelea dhambi ipi?' Manake dhamvi zinafutwa kabisaa na kuwekwa mbali kama mashariki ilivyo mbali na magharibi
Mungi leta kapu la sadaka tafadhali. Nakunywa maji narudi
mmmh, kumbe na biblia unaisoma?
Ila kweli, siku hizi tunahukumu kuliko hata Mungu tunayesubiri na sie aje kutuhukumu.
Hii mada ilikuwa kali sana, hasa ukiangalia hali halisi kwamba ni jambo linatokea, na makanisa yanatambua hilo, na bado wanawapa nafasi ya kufunga ndoa hizo.
Hao hao wanaojitia umajununi na ukanisani sana na kupigia chafya ndoa za wenzao eti kwa sababu wana mtoto au wamejuana kimwili inaonekana hawajaelewa msingi wa dini, hususan ukristo, ambao umejengwa katika inclusion, kukubali kwamba binadamu ni dhaifu na kusameheana makosa.
Ama hawasemi sala ya bwana, ama hawaelewi maana ya "Utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea"
Maana yake, kama unaamini mungu, ukiwa mgumu kusamehe hata hao wanaokukwaza, basi unamwambia mungu naye awe mgumu kukusamehe wewe.Maana ya sala hii sio kuomba msamaha tu, bali kuomba msamaha kwa mizani.Mungu akusamehe kwa kiasi kile kile unavyowasamehe waliokukosea.
Huyo Yesu mwenyewe alipoona Magdalena amebaguliwa kwa sababu ni "loose ball" fulani hakuona noma kujimix naye, alipoona watoza ushuru wanataka kumfuata hakuona haramu kujimix nao.
Hizi hoity toity airs inabidi zisome biblia kwanza kabla ya kujiumbua kwa kukosa ustaarabu secular na wa kidini.
asante kwa kunielewesha.... nashangaa wanaobeza wakati me nimetaka kufunguliwa macho!"!!
Hali zenu wadau wa MMU
Kwanza niwaombe radhi kwa yale ninayotaka kuuliza ili kupatiwa ufafanuzi....
Kwa utafiti mdogo niliofanya, nimegundua asilimia 99 ya ndoa za siku hizi hufungwa baada ya wanandoa hao watarajiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi... wengine mpaka wamekwenda mbali wakabeba mimba... wengine wameishi pamoja.
Swali langu ni kwamba huwa wanakwenda kuhalalisha mahusiano ama kufunga ndoa takatifu? kuna haja gani ya kufunga ndoa kanisani / msikitini wakati mshafunuana vya kutosha????
Kwa mawazo yangu nahisi hii ndo sababu ya ndoa za siku hizi hazidumu kwa sababu hazina mibaraka bali laana.....
adolay aaasante kwa kunifungua macho... barikiwa sana....
Asante mpendwa, umeshafunga ndoa? nianze maandalizi ya kuja kwa wazazi kutumika walau kwa mwaka mmoja siyo kama
Yakobo miaka 7 ilinikutwae?
Agree strongly, halafu there is one thing, kuna tatizo la kushindwa kutofautisha taratibu za kanisa au dhehebu fulani na dini fulani kutoka kwenye ukweli wenyewe wa maisha. Seems you are a bible reader, kuna story about moses alioa mwanamke mwingne ambaye hakua myahudi, aaron na miriam wakam-gossip, do you rem what really happened?
Madhara ya kukuwaza sana, nakutaka radhi mjoli wa Bwana. Hivi mulugo mzee wa zimbabwe walisema ulimi umeslide eh?
Sioni dhambi kabisa, kutokwenda kanisani si dhambi kwa jinsi nionavyo!Mpendwa charminglady kwa mtazamo wangu, kwa ubarikiwe na uitikie Amen.
1. Msikitini na kanisani taratibu, kanuni na mitazamo ni tofauti
- msikitini mwanamke akiachika anafunga ndoa na inarusiwa vivyo hivyo kwa mwanaume (Inshu ya kubanguliwa au kubangua.....)
- makanisanisan ndoa ipo moja tu (huku tu ndo swala la kubanguana linakuwa critical) maana alichokiunganisha mungu
mwanadamu hawezi kukitenganisha. (Lakini misikitini wapo makadhi kuujaji ukweli na uhalari na kutoa hukumu)
2. Dhambi kama ilivyo ndani ya biblia inasameheka na kufutwa kabisa pale mtu anapotubu kwa toba ya kweli na kuacha dhambi hiyo.
- Zakayo ....... alisamehewa, mwanamke mzinzi.......,
-hivyo kubariki ndoa ni suala la muhimu hasa ukizingatia toba na kutubu kuliwekwa ilikurejesha utakaso na usafi sio bikra za
wanadamu. Mnafunga ndoa baada ya kutubu na kuutangazia uma kwamba mmetoka gizani na kurejea balazani nuru iwaangazie
na mwanga wa milele....