Unataka kuuza special ama mtumbaNaomba mnipe madini kuhusu biashara ya nguo jinsi ya kupata kwa bei rahisi na kuuza (vijora tshirt na jeans)
Mkuu shusha madini hapa,wengine tunafuatilia hizi nyuziDaah hope ulifanikiwa.. sijui kwann sikuona hii thread kukushauri