Naomba kufahamu ni usafiri gani mzuri wa kwenda Moba, Kongo

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,420
30,792
Salama wakuu?

Nataka kwenda Moba, Kongo. Kuna mtu yoyote hapa JF amewahi kufika huko? Kama yupo tafadhali naomba anielekeze ni usafiri gani mzuri na wa uhakika wa kwenda Moba.

WITH MUCH THANX IN ADVANCE
 
Back
Top Bottom