Naomba kufahamu mishahara ya TAKUKURU

Naomba kufahamu mishahara ya TAKUKURU

Hizi kazi zitawafukuzisha au kuwafunga wenye tamaa.
 
investigation officers anae anza leo at the end of the month anaenda nyumbani na kama miln.1.2 hivi.....wasaidizi wachunguzi ni kama laki saba naaaa hivi...kazi kwako

Rupurupu itakua hata mara 4 yake
 
Kuajiri vijana kama hawa wanao ongozwa na uchu wa pesa ni hatari kwa taasisi. Wanajali watapata nini hawafikirii wataifanyia nini taasisi.

Ndo ivo kinachomtoa m2 hom na kwenda kukoboka na kazi ni hela kama sivyo hakuna ambae angeangaika
 
Mavotah nyie naona hamjaelewa concern yangu hapa, kuna maneno huku mitaani kuwa hizi taasisi nyeti hata uhuru wako tuu unakuwa mdogo katika mambo flani flani. Nikijua hili ntaweza kukalukuleti risk whether niombe hizi nafasi ama lah!

Hapa swala si ujobless, Ni nini maisha baada ya kupata hiyo kazi kama ntapata nikiomba kiongozi.

Hata kama kuna mikataba kuna condition za kuivunja

Mkuu kiufupi conditions ni nyingi, usianze kufikiri kuacha kazi wakati hata bado hujaipata...hayo ni mawazo mgando., mi nina brother wangu ni Mhasibu hukuo PCCB yani kachokaje!! Hata akupiga elfu 10 ya dili huwezi na kuacha kazi pia huwezi kwakuwa yupo pale permanent employee!! Sasa fikiria mara mbili labda kazi zenyewe ziwe kwa mkataba 1 or 2 yrs unaweza kuvumilia! Na huyo aliyekuambia eti per month 1mil na ushehe sahau....!! Hamna kitu kama hicho!!
 
Naomba kujua kiwango cha mshahara pccb,ngazi zote

Mishahara yao ni ya kawaida sana kwani pccb siyo parastatal so mishahara yake ipo under civil servant scale! kwa graduate anyeanza hawezi kuwa na basic salary ya kuzidi laki 7!! pccb wanatumia TGSC ingekuwa wanatumia PUT sawa tungesema mambo yao yatakuwa mazuri, but all in all kazi ni kazi nenda kapige job najua kutakuwa na allowance Fulani Fulani isitoshe hizi nafasi walizotangaza ni za mikoa na wilaya mpya
 
degree tek hom kwa social science kama lak 6, uchum biashara na ugav na kilimo sheria na mahesabu ongeza elf 50 then ENGENEERs computer s na rarely course kama lak 8 mpaka 9 but ela ya nyumba unapewa kulingana na cheo!
Hivi viwango vipo hivi mpaka sasa hiv?
 
Back
Top Bottom