Naomba kufahamu mishahara ya TAKUKURU

Naomba kufahamu mishahara ya TAKUKURU

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
834
Naomba kujua kiwango cha mshahara pccb,ngazi zote
 
baada ya kuona nafas za kaz ndo unataka kujua mshahara? nenda kwa afisa mwajir atakujuza c umeona kilichowakuta GAZETI LA MWANANCHI?
hii nchi ngumu mpwa..!
 
investigation officers anae anza leo at the end of the month anaenda nyumbani na kama miln.1.2 hivi.....wasaidizi wachunguzi ni kama laki saba naaaa hivi...kazi kwako
 
Naomba kujua kiwango cha mshahara pccb,ngazi zote

Kuajiri vijana kama hawa wanao ongozwa na uchu wa pesa ni hatari kwa taasisi. Wanajali watapata nini hawafikirii wataifanyia nini taasisi.
 
Sizinga namaana kwamba nimefanya kazi kwa miaka 10 na TAKUKURU mfano, halafu naamua kuacha kazi baada ya kupata sehemu nyingine. ni rahisi kufanya hivyo kwa hii taasisi. Si unajua ipo chini ya ofisi ya Rais.
 
Last edited by a moderator:
Msijidanganye nyie....huwezi kuacha kazi tu kiholela labda uwe na kampuni yako binafsi!!

Mkuu INAWEZEKANA kabisa....tatizo sisi wabongo tumejengewa HOFU......mbona kampuni nyingi siku hizi kazi ni za mikataba? TATizo kwa wabongo kila kukicha JOB security ndo maana kila kukicha kila mtu anakimbilia serekalini........Tambua IPO siku na wao wataweka sheria kazi iwe ni ya MKATABA na kitakachomfanya mtu aongezewe mkataba ni performance.........hapo ajira za GVNT zitaheshimiwa

Tambua mkuu siku hizi watu wanastaafu wakwa wadogo saana...na sio lazima uwe na kampuni...wapo watu wanaacha kazi na kwenda kulima, wengine kufuga nk...mara nyingi tumezoea saana kazi za maofisini ndo maana kila kukicha ukisikia kuacha kazi unaogopa
 
Juhudi zako na uthubutu wako pia, unaweza hata kuondoka na milioni kumi kwa mwezi bila kujali una cheo gani pale!
 
Sizinga namaana kwamba nimefanya kazi kwa miaka 10 na TAKUKURU mfano, halafu naamua kuacha kazi baada ya kupata sehemu nyingine. ni rahisi kufanya hivyo kwa hii taasisi. Si unajua ipo chini ya ofisi ya Rais.

Ujobless na tamaa vinakusumbua,inaonyesha ni jinsi gan ulivyo na shda ya ajira,nataka nikwambie kwamba kila kitu kitakuja katika wakati muafaka acha kuharakia maisha ndugu,yan wewe kaz hujapata unawaza kuacha
 
Last edited by a moderator:
Mavotah nyie naona hamjaelewa concern yangu hapa, kuna maneno huku mitaani kuwa hizi taasisi nyeti hata uhuru wako tuu unakuwa mdogo katika mambo flani flani. Nikijua hili ntaweza kukalukuleti risk whether niombe hizi nafasi ama lah!

Hapa swala si ujobless, Ni nini maisha baada ya kupata hiyo kazi kama ntapata nikiomba kiongozi.
 
Last edited by a moderator:
degree tek hom kwa social science kama lak 6, uchum biashara na ugav na kilimo sheria na mahesabu ongeza elf 50 then ENGENEERs computer s na rarely course kama lak 8 mpaka 9 but ela ya nyumba unapewa kulingana na cheo!
 
Mavotah nyie naona hamjaelewa concern yangu hapa, kuna maneno huku mitaani kuwa hizi taasisi nyeti hata uhuru wako tuu unakuwa mdogo katika mambo flani flani. Nikijua hili ntaweza kukalukuleti risk whether niombe hizi nafasi ama lah!

Hapa swala si ujobless, Ni nini maisha baada ya kupata hiyo kazi kama ntapata nikiomba kiongozi.

kupata tu Hapo muombe mungu then usisikilize maneno ya watu kwan walioko wanaishije? alafu wala haina unyet wowote hamna sir kama usalama, kama hujaelewa zaid ni pm....nakusisitiza omba?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom