Naomba kufahamu mambo haya kuhusu Wachawi

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,230
Wadau, naomba kufahamu mambo kadhaa niliyoorodhesha hapa chini kuhusu wachawi;

1. Unawezaje kufahamu kuwa wachawi wameingia ndani kwako?

2. Ni mambo gani mchawi anaweza kufanya akiingia ndani kwako?

3. Ni mambo gani mchawi hawezi kufanya akiingia nyumbani kwako?

4. Mambo gani unaweza kufanya ili wachawi wasiweze kuingia kwako?

UNAWEZA KUNISAIDIA KUPATA JIBU LA SWALI LOLOTE ULILO NA UFAHAMU NALO au YOTE.

Asanteni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
roho zetu huyaona mambo yote yafanyikayo katka ulimwengu wa roho, hivo hutoa ishara katika miili yetu ili tujihadhari....

mfano wakiingia wachawi ndani nywele zinaweza sisimka/mwili unahisi joto lisilokawaida hapo ujue kuna washenzi wameingia...

wanapoingia wanaweza kukuchezea/kuiba vyakula/kutia madawa katika vyakula/kufanya lolote wanalokusudia kwako...

nimechoka kuandika bt inshort nimekua victim wa uchawi zaidi ya miaka 10 hivo nawajua nje ndani hawa wasenge, kwa anaetaka maelezo ya kuwakabili ani pm nitamsaidia.
Huko pm si ndo mwisho utawauzia watu dawa?
Why usiweke hapa maelezo?
 
No 4 nyumba ikiwa na taa za kutosha za nje inasaidia kuzuia
Nyumba ikiwa na wachamungu inasaidia
Nyumba ikiwa Safi sana pia inasaidia
Nyumba ikiwa ina ina fanyiwa ibada pia inasaidia
Kwenye taa ninakubaliana na wewe asilimia 200. Kuna jamaa yangu anaishi kwenye flat fulani hivi lina mambo mengi sana yanaendelea pale, jamaa wawili wanaoishi kwenye flat hilo, walifanya mpango wakaleta mafundi wa NJE wa umeme, wakaja wakadisconnect taa za kwenye ngazi, halafu wakadai kuwa nyaya zimeungua. Kwa hiyo kwenye ngazi huwa kuna giza totoro usiku. Maghorofa ni ya umma, na mafundi wahusika wa wa Tasisi husika wa umeme wapo lakini wao walienda wakachukua mafundi kutoka mtaani. Zaidi ni kuwa kuna maghorofa mengine matatu jirani yanayofanana na ghorofa hilo, yenyewe taa zake ziko sawa, hayana pilika pilika za usiku.

Cha kushangaza zaidi pia ni kuwa kuna jamaa yao mmoja ghorofa hilo hilo, amekatiwa maji nyumba nzima tangu Novemba 2018, karibia miaka miwili sasa, mpaka leo hana maji wakati kila mwezi huwa anakatwa elfu 25 kwa ajili ya maji. Mpango ulisukwa mwanzoni ikaonekna kuwa ghrorfa zima halina maji, halafu baadaye yakarudi, yeye hana mpaka leo.

Wameweka mpira wa maji wa kupandisha juu,kwenye bomba la nje linalotoa maji, mpira ambao yeye akitaka kuutumia, lazima afanye Ibada kwanza, vingnevyo akichota tu hayo maji kwa kutumia mpira huo, usiku hawezi kulala, au gari lake kesho asubuhi haliwezi kupiga stata kwenda kazini.

Nakubaliana na wewe kwa asilimia 200 kwenye issue ta taa!
 
Kuna mahali nilikuwa naishi kwa muda fulani taa za mtaa mzima zinawaka kama kawaida ila nyumba hiyo tu nyumba ina umeme hafifu saaanaa na kila siku balbu zinaungua! Nyuma yake ilikuwa kumbe mahali pale pana mti wanakutania wachawi hawapendi ile nyumba iwe na mwanga mkali usiku, baadae mti ulikatwa ingawa kuna shida fulani fulani bado ila si kama kipindi kile

Haya mambo kama hujashuhudia unaweza usiamini kabisa kama yapo! Wachawi hawapendi mwanga.
 
Hata kwenye hilo ghororfa limezungukwa na miti mikubwa karibia sehemu zote, na nyuma yake pia kuna mti mkubwa.

Hata hivyo mahali kama pale, panafaa kuishi mtu kama mimi, siku hizi napenda sana vurugu za namna hiyo. Una wa-fool kiroho, wakija wanakuona wewe, halafu wakiondoka, wanagundua hukuwa wewe, bali ilikuwa ni mmalaka fulani ambayo haipo duniani ndiyo waliikuwa wanashughulika nayo, ambayo hawana uwezo wa kupambana nayo. Watu waache upumbavu pumbavu wa namna hii!

Tatizo kubwa labda ni hilo la maji kukatwa karibia miaka miwili sasa. Na hilo nalo pia lina mamalka iko nyuma yake kwa sababu wachawi hawana uwezo wa kumkatia maji mpangaji mwenzao.
 
Naomba kuelewa hapo kwenye ku-fool kiroho na hizo mamlaka mdau.

Similar Discussions

Back
Top Bottom