Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,856
- 2,953
Nimekuwa nikiona ballon katika hifadhi hususani Ruaha ila kuna mengi ningependa kujuzwa kuhusu, inatengenezwa na nini, na ule moto unaowaka chini ni gesi au mafuta na je haliwezi kutumika kusafirishia watu kama yalivyo magari hususani katika miji yenye misongamano ya watu kama Dar.
Wajuzi wa hiziputo ballon naombeni kufahamishwa zaidi ili tujifunze zaidi.
Wajuzi wa hiziputo ballon naombeni kufahamishwa zaidi ili tujifunze zaidi.