hakuna clone ya lumia labda iwe na umbo la lumia na software ya ndani iwe android
Asante.
Na unahisi hizi Lumia zinakidhi mahitaji kama Android Phones zilivyo?
Maana nimekuwa nikitumia Android Phones, na sijawahi kuzigusa hizi Lumia.
Unahisi ziko poa, au ni bora nibaki Android Phones?

Nice mkuu neva
Nilishawahi kutumia kipindi cha nyuma, kwa kweli sikuipenda hata kidogo. I'd chose something else over windows phone.