Naomba kufahamu kuhusu mvua na ndege

Naomba kufahamu kuhusu mvua na ndege

mjanja wa kijiji

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Posts
1,904
Reaction score
5,062
nilipokuwa shule nilifundishwa kwamba wingu la mvua ni barafu, sasa hoja yangu ni kwamba ndege inawezaje kupita hayo mawingu bila kupata hitilafu yoyote?
 
Wingu ni condensation of water vapour, na sio solid Ice. Ndege inaweza kupita Juu/chini au hata inaweza kukatisha katikati ya hayo mawingu kwa nyakati fulani. Ukiwa ndani ya ndege wewe utaona tu ukungu kama unakatisha katikati ya wingu au kama unapita juu ya mawingu mazito utaona ukungu mzito kama Kapeti kwa chini, lakini ukiusogelea unaanza kuonekana kama ukungu mwepesi ama moshi mweupe.
 
kwahiyo mkuu kwa nini kuna wakati au sehemu kunaweza kunyesha mvua ya vipande vya barafu, hiyo barafu inatoka wapi?
 
Back
Top Bottom