Naomba kufahamu kuhusu Matofari ya INTER LOCKING

mc luggy

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
454
Reaction score
102
Haya ni aina flani iv ya matofar nimeyaona katika kipind cha ujenz apo east Africa television but hawajanipa maelezo yanapatikana wapi na kwa gharama gani..kiukweli nimevutiwa sanaa na hizo tofari
Kwa mwenye kuzielewa atupe maelezo kiundani uimara,gharama zake na upatikanaji wake mfano kwa dar es salaam hupatikana wapi.

Katka sifa zake nikwamba wanasema matumizi ya maji ni kidogo,muda pia na cement hutumika kwenye msingi na kwenye rinter juu....matofar haya hupangwa tu bila kutumia cement waka udongo yametengenezwa kwa mfumo wa kuwa na lock zinazoshikana unapozikutanisha na ndo mwanzo mwisho.

Nia na dhumuno kuweka hapa tuelezane wap zinapatikana na gharama zake zipo vp ili kama kuanza kujipanga tuanze mdogo mdogo mjengo mpango mzma kwa kijana wa sasa
 
Enda google utafute hydraform blocks. Utajifunza zaidi. Pia wako pale tegeta kibaoni.
 
Aaah hayo matofali hasara tupu mwizi akichomoa moja tu basi umekwishaa
 
Nimeona hapa but itabidi nitembelee,hapo tegeta
 
Haya ni aina flani iv ya matofar nimeyaona katika kipind cha ujenz apo east Africa television but hawajanipa maelezo yanapatikana wapi na kwa gharama gani..kiukweli nimevutiwa sanaa na hizo tofari
Kwa mwenye kuzielewa atupe maelezo kiundani uimara,gharama zake na upatikanaji wake mfano kwa dar es salaam hupatikana wapi.

Katka sifa zake nikwamba wanasema matumizi ya maji ni kidogo,muda pia na cement hutumika kwenye msingi na kwenye rinter juu....matofar haya hupangwa tu bila kutumia cement waka udongo yametengenezwa kwa mfumo wa kuwa na lock zinazoshikana unapozikutanisha na ndo mwanzo mwisho.

Nia na dhumuno kuweka hapa tuelezane wap zinapatikana na gharama zake zipo vp ili kama kuanza kujipanga tuanze mdogo mdogo mjengo mpango mzma kwa kijana wa sasa

Hilo ndo tofar lenyewe ss gharama ndo cjajua bado
 
Attachments

  • 1420555413692.jpg
    1420555413692.jpg
    144.3 KB · Views: 54
Back
Top Bottom