Mohammed fadhil
Member
- Jul 24, 2012
- 9
- 0
Napenda kutanguliza shukrani kwa wote. Waungwana kama kuna mtu mwenye uelewa wa databese naomba anisaidie
databaseni kubwa mno saanaaaa, ningekushauri to be more specif shidayako haswaa ili upate msaada kwa haraka zaidi na kwa muda muafaka.Napenda kutanguliza shukrani kwa wote. Waungwana kama kuna mtu mwenye uelewa wa databese naomba anisaidie
if thats the case then u should google for it or just go to school and learn the whole thingDefinition ya database, entity,atributes, relation, relation ship