Naomba kufahamu kuhusu course ya biomedical engineering

MrKhan

New Member
May 30, 2018
4
2
Mimi nimemaliza form six na sasa hivi nataka kusomea biomedical engineering ila sina ufahamu zaidi juu ya hiyo course na ajira zake kwahiyo mwenye ufahamu naomba anielekeze tafadhali
 
Nakushauri ukasome, kwa sasaivi biomedical engineers sio wengi kwa iyo fursa zipo, na wanalipwa poa
 
Ni kozi ya engineering bora kati ya zote kwenye soko la ajira la ndani na nje ya nchi
 
Mimi nimemaliza form six na sasa hivi nataka kusomea biomedical engineering ila sina ufahamu zaidi juu ya hiyo course na ajira zake kwahiyo mwenye ufahamu naomba anielekeze tafadhali
Kwa hiyo wewe umejuinga JF ukiwa form 4....
 
Ajira zao wanakuwa wanaajiriwa kwenye hospital kabisa au wanafanya nje ya hospital
 
Mimi nimemaliza form six na sasa hivi nataka kusomea biomedical engineering ila sina ufahamu zaidi juu ya hiyo course na ajira zake kwahiyo mwenye ufahamu naomba anielekeze tafadhali
Unajua yanayo wakuta watu wa petrolium?Kama kaka yako naushauri usisome hii kozi unless uwe na coneksheni au umetokea chato.

Kama unapenda engineering kasome civil au electrical.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom