SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Anacho kimaanisha chief ni kwamba kama pc yako ina partition basi isi install kwenye partition yenye window install kwenye partition nyingine na kwenye kuchagua space mfano 4Gb ,8Gb hakikisha kweli ipo hiyo space utakayo chagua.kwani haiwezi kukaa kwenye c mpaka partion yake
Baada ya kuzima na kuiwasha uwe mvumilivu tu ikimaliza itawaka na itakutaka uchague lugha basi hapoutakuwa ume maliza binafsi nilisha fanikiwa. Ni simple sana.