Naomba kufahamu kazi ya button ya ect pwr

BORATUMBO

Member
Feb 6, 2012
50
15
Wadau hii botton inakaa karibu na gear liver ya kwenye GX100 maranyingi imeandikwa PWR NA SNOW nini kazi yake jamani
 
Power hutumika unapotaka kuiongezea gari nguvu na snow hutumika unapoendesha gari kwenye theluji.
 
Ect power inasaidia gari kuongeza nguvu. Na inaongeza nguvu kwa kuongeza gear shifting interval time...Yan hii itafanya gari ifikie level za rpm za juu kabla ya kubadili gear
 
Back
Top Bottom