Naomba kufahamu gharama za kutengeneza Greenhouse

Jamani Kwaanaejua gharama Za kuijenga green house. Naomba anisaidie coz napenda Sana kufanya kilimo cha green house
Gharama zinategeana na size boss
8m by 15m bei 8,000,000/=
30m by 16m 16,000,000/=
Bei hiyo inahusisha
(i)Metal frame structure
(ii)water tank(1000 litres)
(iii)water stand
(iv)Crop support system
(v)Drip irrigation system
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kupitia +255752022108
 
kwa anaeshindwa kumudu gharama za kujenga green house karibu upate ushauri utapata mavuno kama ya greenhouse washauri tupo unatumia open field kikubwa tu ujue namna na sisi tukushauri usikatishe ndoto yako nione nina utaalamu katika mboga na matunda aina zote 0755809062
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom