Naomba kufahamu bei ya simu aina ya Tecno phantom A2(F8)

Naomba kufahamu bei ya simu aina ya Tecno phantom A2(F8)

Ni simu moja kali sana ina kila kitu unachohitaji kwenye ulimwengu wa tekinolojia na inatunza chaji vizuri
 
Mi ninayo Phantom A+ nimenunua 350,000 lakini iko bomba sana na inatunza sana chaji
 
Nikiona mtu anatumia simu ya Tecno ninamuona ni mtu wa ajabu sana. Hata kama ni mdada mzuri nimemtamani nikiona anatumia simu ya Tecno hamu yote inaniisha ninaghairi.
 
Duh kumbe n bonge la simu had lak tatu ni lain mbili?,vp tecno M3 bei gani na ikoje ukilinganisha na hiyo?
 
Nikiona mtu anatumia simu ya Tecno ninamuona ni mtu wa ajabu sana. Hata kama ni mdada mzuri nimemtamani nikiona anatumia simu ya Tecno hamu yote inaniisha ninaghairi.

Badilika Nenda na Wakati, kuna vitu vina majina ya ajabu lakini ni makini mno kuliko vyenye majina na Siku hz tech imekuwa mno ile Enzi ya majina makubwa kutamba inaisha
 
Price in Kenya
Find your Phone
Tecno Phantom A2 (F8), phablet
display & up to 8MP self-portraits
September 9th, 2013 by Price
Tecno Phantom A2 (F8)
Tecno Phantom A2 (F8) Features
With a 5.7-inch display, device
emerges as Tecno’s first
phablet (phone/tablet), neatly
crafted for productivity & rich
media consumption
At only 8.9mm thick &
sporting smooth rounded
corners, device is slimmer
than its predecessor the
Phantom A and designed to fit
into pockets without much
strain
5.7-inch multitouch display
with haptic feedback, thin
bezels & hardened protective
plastic (display still prone to
accidental scratches)
25% increase in battery
capacity (necessitated by the
mammoth display) ensures a
full day of moderate use
Practically unlimited
phonebook entries with
multiple numbers per contact,
picture ID & deep integration
with Gmail, WhatsApp, Skype,
LinkedIn, WeChat & soon
BlackBerry messenger
Dual-SIM functionality with
dual stand-by (both SIMs can
be used simultaneously
without disrupting services of
the other, swapping SIMs
however requires device to be
restarted)
To preserve battery life, only
the primary SIM connects to
3G, while the secondary SIM
maintains EDGE access
A wide selection of privacy
locks; password unlock,
pattern unlock, pin unlock &
face unlock
Customizable ringtones,
widgets, live wallpapers &
vibration alerts
13MP autofocus camera with
dual LED flash, geotagging,
white balance, digital zoom,
scene selection & HD video
recording
An impressive 8MP webcam
optimized for high-resolution
self-portraits & HD calls via
Skype, Viber, Tango or WeChat
GPRS/EDGE/3G & Wi-Fi
internet connectivity (with
mobile hotspot)
Up to 236.8Kbps download
speeds on 2G, up to 21Mbps
on 3G
Desktop-like browsing
experience via preloaded
WebKit & Google Chrome
browsers
Even faster & cheaper
browsing via the preloaded
Opera Mini web browser
Downloadable Kingsoft &
Polaris Office viewers for
Word, Excel & PowerPoint
documents (Kindle & PDF
supported via downloadable
ebook readers)
Android Jelly Bean operating
system with unrestricted
access to over 500,000 apps
on Play Store
Preloaded essential Google
apps; Gmail, Search, Maps,
Play Store, YouTube,
Hangouts, Google+, Calendar,
Picasa & Chrome browser
Power efficient quad-core
Cortex-A7 processor
Integrated PowerVR graphics
processor (good to go for
some HD gaming; Asphalt 6:
Adrenalin, NFS Most Wanted,
GTA Vice City, Subway Surfers,
Resident Evil, FIFA 12, Talking
Tom Cat 2, Temple Run 2 etc.)
1GB RAM
4GB internal storage
(upgradeable to 32GB via
microSD cards, 8GB provided
free in the box)
Bluetooth v3.0 with Advanced
Audio Distribution Profile
(A2DP)
No Near Field Communication
(NFC) support
Stereo FM radio with no RDS
Multi-format music player
supporting background
playback, customizable
playlists, equalizer presets,
album art & Digital Theater
System, DTS sound
enhancements
AVI/MKV player out of the box
supporting smooth playback of
full HD videos
Device available in black or
white colors & comes with
12+1 months manufacturer
warranty
Technical specifications
Announced September 2013
expected release September
2013
Dimensions: 160 x 82 x
8.9mm
Weight: will be updated
shortly
Screen size: 5.7 inches
Screen resolution: 720 x 1280
pixels
Pixel density: 258 ppi
Screen type: TFT capacitive
touchscreen capable of
displaying up to 16M colors
Automatic display rotation
Pinch to zoom, pan, swipe &
other multitouch gestures
supported
Hardened protective plastic
display (no scratch resistant
mineral glass)
Proximity, ambient light &
gravity sensors
Missing LED notification light
for new messages, emails or
missed calls
Preinstalled Google maps
offering turn by turn, voice-
guided navigation (maps can
be cached for offline use, no
Global Navigation Satellite
System, GLONASS)
GPRS/EDGE/ 3G / Wi-Fi internet
connectivity
Wi-Fi 802.11 b/g/n with
internet sharing via mobile
hotspot
Up to 21Mbps download,
5.76Mbps upload speeds on
3G HSPA+ networks
Up to 236.8Kbps download
speeds on EDGE
Preloaded WebKit & Chrome
browsers with excellent HTML5
(no Adobe Flash)
SMS/MMS/Email & Push Email
messaging (with predictive text
input & third party keyboard
support)
IMAP/POP3/SMTP & Microsoft
Exchange email support
Kindle, PDF, Word, Excel &
PowerPoint document viewing
via downloadable Office suites
(cloud storage & syncing via
selected apps)
13MP , 4128 x 3096 pixels
autofocus camera with dual
LED flash, geotagging, digital
zoom, white balance & scene
selection
Up to 720p, 1280 x 720 pixels
video recording at 30fps
8MP webcam capable of high
quality self-portraits (up to
3264 x 2448 pixels) & 720p HD
video calls
3.5mm audio jack
microUSB v2.0 with mass
storage & USB charging
Bluetooth v3.0 with Advanced
Audio Distribution Profile
(A2DP)
Stereo FM radio with no RDS
MP3/AAC/WAV/FLAC/AMR/MIDI
music player with
customizable playlists, album
art, background playback,
equalizer presets & Digital
Theater System, DTS sound
enhancements
DivX/XviD/MKV/3GP/3GPP/
MP4/WMV/RealVideo/YouTube/
Vimeo player supporting HD
playback to 1080p (more
formats playable via third
party apps)
Android v4.2.1 Jelly Bean OS
1.2GHz quad-core ARM Cortex-
A7 processor
MediaTek MT6589 chipset
1GB RAM
PowerVR SGX544MP graphics
processing unit
4GB internal memory (about
1.4GB user available)
External memory slot
supporting microSD cards up
to 32GB (free 8GB provided in
the box)
2630mAh Li-Ion battery
Up to 17 hours 18 min talk
time on 2G
Up to 11 days 16 hours stand-
by time on 2G/3G
Tecno Phantom A2 (F8) Price
The price range for this phablet as
expected when it launches locally Ksh.
24,499/=
 
Sipendi hilo jina tu ila simu imetulia sana.

Mkuu nimeinua Mwanza wakati wa maonesho ya nane nane. Hata watu wenye sim za mamilioni wakiiona wanajuta kupoteza hela zao kwa kuwa ina function zote zilizo kwenye sim za bei mbaya.Kikubwa zaidi ina kitu kinaitwa Power Bank, ukiishiwa chaji hata ukiwa porini unapachika power bank maisha yanaendelea
 
Tatizo kubwa la Tecno Smartphones:
Ikija na.adroid OS labda version 4.1 ndio hadi inaufa itabaki version hiyohiyo. Huwezi ku-upgrade kwenda higher versions kama.zilivo smu.nyingi.
Pia.inaundwa na.cheap matrls so swala la.durability.sahau mkuu. Mfano simu nyingi now zina tecnolojia ya gorila glass, kwamba ile screen inakua protected ata ikidondoka au kukwaruzwa na kitu kigumu, madhara yanakua madogo.
Ila vingine vyote hii simu iko poa.sana. Bei yake ina range 450-480K tsh.
pia kwa.internal memory ya 4Gb kama ww n mpenda apps sana (kwa 1gb ram na 1.2ghz cortex procesor ya hiyo simu) tegemea lagging sana ukitumia.zile apps nzito.
 
What is there in a name, Shakespeare did sat,' a name is like a dangling earring that that can be pushed and pulled out of the ear,'
 
Nikiona mtu anatumia simu ya Tecno ninamuona ni mtu wa ajabu sana. Hata kama ni mdada mzuri nimemtamani nikiona anatumia simu ya Tecno hamu yote inaniisha ninaghairi.

usilete mambo ya kizamani technolojia imeaha panuka nashanga unavyokana simu za Tecno kwani si smartphone kama zingine?
 
Mkuu nimeinua Mwanza wakati wa maonesho ya nane nane. Hata watu wenye sim za mamilioni wakiiona wanajuta kupoteza hela zao kwa kuwa ina function zote zilizo kwenye sim za bei mbaya.Kikubwa zaidi ina kitu kinaitwa Power Bank, ukiishiwa chaji hata ukiwa porini unapachika power bank maisha yanaendelea

Ulinunua shilingi ngapi naitaka hii
 
Tuambiane tu ukweli, TECNO walibugi mwanzoni pale walipoleta products zao na kungizwa kwenye kundi la products za kichina, japo produts zao zilikuwa na ubora ukilinganisha na zile nyingine za kichina.

Kama mjuavyo, vijana wengi tunaokwenda na wakati hatupendi vitu fake, au majina ya vitu vinavyochukuliwa kuwa fake, thus why tunasita sana kuamini kwamba TECNO ni simu bora ukilinganisha na brands zingine zenye android system, brands kama vile Sony Ericsson, Sony yenyewe, Sumsung, Huawei,Life is Good (LG) etc..

Mimi binafsi nitachukua muda sana kuamini kuwa TECNO ni bora kuliko Sony Xperia ninayoitumia mimi.
 
Back
Top Bottom