Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Pale kariakoo maduka ya tecno yako sehemu gan?
Jemedari ukifika kariakoo maduka ni mengi sana utachoka wewe
Pale kariakoo maduka ya tecno yako sehemu gan?
Tuambiane tu ukweli, TECNO walibugi mwanzoni pale walipoleta products zao na kungizwa kwenye kundi la products za kichina, japo produts zao zilikuwa na ubora ukilinganisha na zile nyingine za kichina.
Kama mjuavyo, vijana wengi tunaokwenda na wakati hatupendi vitu fake, au majina ya vitu vinavyochukuliwa kuwa fake, thus why tunasita sana kuamini kwamba TECNO ni simu bora ukilinganisha na brands zingine zenye android system, brands kama vile Sony Ericsson, Sony yenyewe, Sumsung, Huawei,Life is Good (LG) etc..
Mimi binafsi nitachukua muda sana kuamini kuwa TECNO ni bora kuliko Sony Xperia ninayoitumia mimi.
tehetehe,tecno noma wanaoiponda washindwe na walegee
Mimi mwenyewe hii mambo imenisumbua kichwa sana.Ila nawaambieni ukweli Tecno sio simu ukifananisha na simu nyingine zenye majina za android.Na ukitaka kuamini tumia maana hapa nimeshika samsung galaxy s4 na hiyo tecno phantom yaani ni vitu viwili tofauti ni kama kufananisha usingizi na kifo.Na hili uweze kugundua hili ni lazima uwe nazo zote kwa pamoja.Sio umeenda kununua tecno unatumia unaanza kuisifia wakati Hizi simu nyingine unaziona kwa mbali tuu hautaelewa ninacho ongea hapa.