L Lotus 123 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2021 Posts 3,151 Reaction score 5,534 Jul 12, 2022 #1 Mfano mtu alioa mke akazaa watoto na mke wa kwanza na kwenye uhai wao wakapata na Mali ,then baadaye mke wa kwanza akafa ,na mume akaoa mke wa pili Kisha baadae huyu mume anafariki je kwenye mirath Ni Nani anafaidika na kilichobakia?
Mfano mtu alioa mke akazaa watoto na mke wa kwanza na kwenye uhai wao wakapata na Mali ,then baadaye mke wa kwanza akafa ,na mume akaoa mke wa pili Kisha baadae huyu mume anafariki je kwenye mirath Ni Nani anafaidika na kilichobakia?
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 8,094 Reaction score 7,840 Jul 12, 2022 #2 Kwa mirathi ya kiislamu mke anapata moja kwa nane ya thamani ya mali yote aliyowacha baba. Watoto wote walio hai wanapata sehemu ya mali ya baba kwa ratio ya 2:1 (mwanamme 2, mwanamke 1)
Kwa mirathi ya kiislamu mke anapata moja kwa nane ya thamani ya mali yote aliyowacha baba. Watoto wote walio hai wanapata sehemu ya mali ya baba kwa ratio ya 2:1 (mwanamme 2, mwanamke 1)