Wakubwa naombeni Msaada wa kujua tofauti ya Ipad na Tablet
Ninaitaji kuingia kwenye ulimwengu mpya wa matumizi ya kimojawapo (tablet ua ipad)
Kabla ya hapo naona ni bora nizijue kiundani
Ni kama tofauti ya gari na Toyota Corola. Corola ni aina ya gari inayotengenezwa na Toyota. iPad ni aina ya tablet inayotengenezwa na Apple.

Ninaomba msaada wa kitaalamu zaidi,
Mfano mtu anapouliza tofauti ya iphone na tecno
- ukamjibu kuwa zote ni simu
(Yeye anafahamu kuwa zote ni cm bt anaitaji detail zaidi)
Ninaomba msaada wa kitaalamu zaidi,
Mfano mtu anapouliza tofauti ya iphone na tecno
- ukamjibu kuwa zote ni simu
(Yeye anafahamu kuwa zote ni cm bt anaitaji detail zaidi)
Kuna tablet nyingine hazina uwezo wa kupiga simu/sms ie ipad za apple..samsung tab zinapiga simu.fanya concideration b4 hujanunua...
Ninaomba msaada wa kitaalamu zaidi,Mfano mtu anapouliza tofauti ya iphone na tecno
- ukamjibu kuwa zote ni simu
(Yeye anafahamu kuwa zote ni cm bt anaitaji detail zaidi)
Wakubwa naombeni Msaada wa kujua tofauti ya Ipad na Tablet
Ninaitaji kuingia kwenye ulimwengu mpya wa matumizi ya kimojawapo (tablet ua ipad)
Kabla ya hapo naona ni bora nizijue kiundani
Je tablet ni nini hasa?, Ingia hapa wikipedia kujifunza zaidi: Tablet - Wikipedia, the free encyclopedia
- Ipad ni moja kati ya aina nyingi tofauti tofauti za tablet
- Pata kuzi jua tablet zingine ukiacha hiyo iPad kwenye huu uzi: Updated Tablet shopping guide: March 2014
- Kati ya hizo aina nyingi za tablet kama fedha inaruhusu waweza chukua hii iPad Air 16gb ya bei ya chini tsh: 1,086,744 (yaani inauzwa paundi 399 ) au waweza chukua hii iPad Air 128gb ambayo ni tsh: 2,012,523 (yaani paundi 739 )
- Hakika hutojutia.
Mimi natumia Samsung tablet. Ninavyojua ni kwamba tablet inatengenezwa na kampuni ya Sumsung while Ipad inatengenezwa na kampuni ya Apple. Kimsingi Apple wanaotengeneza I phones ndiyo waanzilishi wa technology hiyo, lakini Wakorea wakaiiba na kuunda tablet. Ilikuwa ugomvi mkali hadi wakafikishana mahakamani na Apple wakashinda kesi. Ilibidi Samsung walipe faini.
hata hivyo mimi naona tablet ni nzuri kuliko Ipad kwa sababu kwanza ni rahisi kuitumia, pili applications nyingi una download bure wakati Ipad kila kitu unalipia. Halafu tablet ina application ya simu wakati Ipad haina, hivyo utalazimika kui download tena kwa kulipia.
^Tablet ina faida nyingi tu, unaweza kuitumia kama laptop, simu, camera na ina WiFi hapo hapo.
Ni kama tofauti ya gari na Toyota Corola. Corola ni aina ya gari inayotengenezwa na Toyota. iPad ni aina ya tablet inayotengenezwa na Apple.
Mkuu kidamva unachanga mambo hapaMimi natumia Samsung tablet. Ninavyojua ni kwamba tablet inatengenezwa na kampuni ya Sumsung while Ipad inatengenezwa na kampuni ya Apple. Kimsingi Apple wanaotengeneza I phones ndiyo waanzilishi wa technology hiyo, lakini Wakorea wakaiiba na kuunda tablet. Ilikuwa ugomvi mkali hadi wakafikishana mahakamani na Apple wakashinda kesi. Ilibidi Samsung walipe faini.
hata hivyo mimi naona tablet ni nzuri kuliko Ipad kwa sababu kwanza ni rahisi kuitumia, pili applications nyingi una download bure wakati Ipad kila kitu unalipia. Halafu tablet ina application ya simu wakati Ipad haina, hivyo utalazimika kui download tena kwa kulipia.
^Tablet ina faida nyingi tu, unaweza kuitumia kama laptop, simu, camera na ina WiFi hapo hapo.
Mkuu Kang yupo sahihi kabisa, huwezi kuuliza tofauti ya gari na toyota wakati toyota yenyewe ni gari tayariMkuu Kang, mbona unamchanganya mwenzio. Kwa ufahamu wangu tofauti ya IPAD na tablet ni mtengenezaji lakini IPAD na TABLET zote zinafanya kazi ile ile na future zake ni zile zile. Wakati Apple product yao wanaiita IPAD, Samsung product ile ile wanaiita Tablet.
Tiba
[h=1]Tablet[/h]
- Tablet computer, a mobile computer that is primarily operated by touching the screen
- Internet tablet, a mobile appliance focused on Internet and media features
- Microsoft Tablet PC, a pen-enabled personal computer specification announced by Microsoft in 2001
- Graphics tablet or digitizing tablet, a computer input device for capturing hand-drawn images and graphic
Mkuu Kang, mbona unamchanganya mwenzio. Kwa ufahamu wangu tofauti ya IPAD na tablet ni mtengenezaji lakini IPAD na TABLET zote zinafanya kazi ile ile na future zake ni zile zile. Wakati Apple product yao wanaiita IPAD, Samsung product ile ile wanaiita Tablet.
Tiba