nadhani jeshini huwa wanawaruhusu kuja kufanya appllications, all in all uko sahihi kuacha taarifa muhimu nyumbaniMbona huwa inakuwa announced acha haraka , hzo pesa huwa haztoshi ,ok huwa ni wasita had mbelen huko , angalizo Kama unaenda jeshin acha taarifa zako zote muhimu kwa mtu yoyote wa muhim aliepo nyumban , maranying watu wakimwaga jeshin huwa wanapshana na mchakato na wanabaki home kwa kukosa mkopo, yote Tisa Kama mnajiaeza kiuchumi jisomeshe kwa hela za home
Yaah huwa wanapewa Ila Kuna Mambo yanatokeaga yasiyo elezeka pale Yan,nadhani jeshini huwa wanawaruhusu kuja kufanya appllications, all in all uko sahihi kuacha taarifa muhimu nyumbani