Naomba kufahamishwa maduka yanayouza simu za nokia android

Naomba kufahamishwa maduka yanayouza simu za nokia android

last king of uscoch

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
2,765
Reaction score
4,006
Habari za mihangaiko ndugu zanguni,Nahitaji kujua mahali yalipo maduka yanayouza simu janja aina ya Nokia,sana sana kuanzia Nokia 6,7,7+,8 sirocci,kwa upande wa kanda ya ziwa au Arusha na moshi
Asanteni
 
Mimi ninayo nokia 6 ambayo still ipo ktk good condition. Nakuuzia kwa 400k
 
Back
Top Bottom