donaldson don
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 624
- 415
Asingeuliza Ulaji wa mafuta kuwa na akili za kujiongeza mkuuWe unaujua uwezo wa anayeuliza kifedha?
Asingeuliza Ulaji wa mafuta kuwa na akili za kujiongeza mkuuWe unaujua uwezo wa anayeuliza kifedha?
Vipi alphard toyota cc2400 ulaji wa mafutaHii mkuu siyo ya kununua kabisa inakula mafuta sana ikitaidi km 8 lth 1! Hapo haijaanza kuchoka halafu kama mtu wa kuuza mbeleni itakusumbua last ina tatizo la engine kwa dodosa za kijiweni! Nakushauri tafuta gari walau ya "cc 1300-2000! Im stand to be corrected!
Tafuta inayokula maji,magari yote yametengenezawa yale mafuta ili yaweze kwenda ,sijajuaHabarini za jioni wapendwa,
Mmoja kwa moja bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada.
Naomba mwenye uelewa kuhusu TOYOTA BREVIS yenye cc 2490 aniambie inakulaje mafuta?
Yaani nataka kujua lita moja ya mafuta inaenda km ngapi?
Ahsanteni wapenzi
View attachment 706812
Gari linakunywa mafuta, halinywi supu.Kalanga Brevis 2500cc inabwiya mafuta
mbona kuna gari nzuri tu za cc chini ya 1500 zikupa lita 1 kwa km18?
Brevis ni la kupasua bara na siku hizi kuna limit speed mwisho 50km halifai
km upo mjini unajipanga foleni kwa km 8 lita 1 lazima litakula lita 1 kwa 5km foleni
ndioyangu hayo
mekuelewaGari linakunywa mafuta, halinywi supu.
Kunywa mafuta ndio jadi ya gari
Kubwia umelitoa wapi we mwali?ni
mekuelewa
km kubwiya na kunywa ni sawa
kalagabaho chaguo ni lako Mama
Gari inategemea na unapenda nini.
Unaponunua gari kama brevis, mark X, GX 110 , Lexus GS, LS na gari zinazofanana na hizo ambazo injini zake CC inaanzaia 2500 plus
Kuna faida kadhaa utapata
1. Luxury - gari hizo zote zina comfort, Safety ya juu kama ukipata ajali.
2. Injini ina power kubwa, sio tu ya ku overtake na kukimbia, lakini gari inakuwa stable barabarani, gari inatulia na nzito. Inakuwa inamudu barabara complex kidogo, milima nk nk
Tatizo ni moja tu na si tatizo la gari husika ni Tatizo la Masikini sisi. (limited financial)
-Gari inakuwa na unywaji wa mafuta wa juu kidogo kulinganisha na gari ndogo kama Vitz, IST, Porte nk
Sasa hivi Vigari vinavyokunywa Mafuta vizuri. Raha yake na faida ni hapo tu kwenye Mafuta. Hususani ukiwa huna uchumi mzuri lakini Pia pengine ni Cheap kufanya Mantainance /Service.
Lakini hizi gari ndogo Vitz, Porte, IST na ndugu zao wote. Unakosa vitu kadhaa
1. Havina comfort. Sio luxury ni sawa na kulalia Godoro la bei nafuu kabisa linaloumiza mgongo wakati mwenzio analalia Tanform Arusha tena ya Spring
2. Hazina power ya kutosha, kuhimili complex roads, unaweza ingia hata kwenye tope dogo tu usitoke. Lakini hazitulii barabarani kulinganisha na hizo za injini kubwa.
3. Safety yake ni ndogo, ukipata ajali unakunjwa kama karatasi lakini mifumo mingine pia ya kiulinzi inakuwa sio advanced
Mwisho wa siku ni uchaguzi wa mnunuzi nini unataka. Kutokana na gari husika.
Huwezi kulinganisha Raha ya Crown dhidi ya Raum
Kazi ni kwako binafsi bora nipambane na mafuta ila niwe Comfortable
Boss unahitaji umakini wa hali ya juu zaidi kusafiri na IST ktk High way.Dada kwa ist ukisema ni ndogo uta ua engine au haliwezi kwenda mbali nakukatalia,binafsi I.s.t nime wahi toka nayo msumbiji mtopweshi hadi arusha na ilikua kipindi cha mvua za masika kama sasa hivi nili tembea siku siku mbili lakini nikipumzika nnjiani hadi dar nikapoaa siku mbili tena natembea kuingia chuga,sikupata breack down yoyote mpaka narudi msumbiji
Umeniondoa hofu nyingi sana mkuu.Ukweli napenda nipate toyota alphard 2500cc kwa ajili ya masafa marefu na mafupi lakn muda mwingi ninapouliza fuel consumption sijawahi pata mwenye kuielewa vema.But sasa nimepata mwanga mzuri.Gari inategemea na unapenda nini.
Unaponunua gari kama brevis, mark X, GX 110 , Lexus GS, LS na gari zinazofanana na hizo ambazo injini zake CC inaanzaia 2500 plus
Kuna faida kadhaa utapata
1. Luxury - gari hizo zote zina comfort, Safety ya juu kama ukipata ajali.
2. Injini ina power kubwa, sio tu ya ku overtake na kukimbia, lakini gari inakuwa stable barabarani, gari inatulia na nzito. Inakuwa inamudu barabara complex kidogo, milima nk nk
Tatizo ni moja tu na si tatizo la gari husika ni Tatizo la Masikini sisi. (limited financial)
-Gari inakuwa na unywaji wa mafuta wa juu kidogo kulinganisha na gari ndogo kama Vitz, IST, Porte nk
Sasa hivi Vigari vinavyokunywa Mafuta vizuri. Raha yake na faida ni hapo tu kwenye Mafuta. Hususani ukiwa huna uchumi mzuri lakini Pia pengine ni Cheap kufanya Mantainance /Service.
Lakini hizi gari ndogo Vitz, Porte, IST na ndugu zao wote. Unakosa vitu kadhaa
1. Havina comfort. Sio luxury ni sawa na kulalia Godoro la bei nafuu kabisa linaloumiza mgongo wakati mwenzio analalia Tanform Arusha tena ya Spring
2. Hazina power ya kutosha, kuhimili complex roads, unaweza ingia hata kwenye tope dogo tu usitoke. Lakini hazitulii barabarani kulinganisha na hizo za injini kubwa.
3. Safety yake ni ndogo, ukipata ajali unakunjwa kama karatasi lakini mifumo mingine pia ya kiulinzi inakuwa sio advanced
Mwisho wa siku ni uchaguzi wa mnunuzi nini unataka. Kutokana na gari husika.
Huwezi kulinganisha Raha ya Crown dhidi ya Raum
Kazi ni kwako binafsi bora nipambane na mafuta ila niwe Comfortable
Acha dharauUkiona mtu hata km 8/ lita anahoji na kushauri gari za cc 1500 ujue hajafikia uwezo wa kumiliki gari anapaswa ajikite kwenye boxer kwanza... ndio uwezo wake kwa sasa kuhusu kumiliki gari asubiri kwanza
Sijajua hoja yako inakaa wapi mkuu, nimetoka n Vitz RS Old model (1NZ Engine) kutoka Dar hadi Sumbawanga na kurudi bila ya shida yeyote ile.Boss unahitaji umakini wa hali ya juu zaidi kusafiri na IST ktk High way.
Sio kwamba haiwezi, but ni nyepesi kwa speed kubwa
Hivi unajua faida ya stability ya gari ktk speed kubwa, plus kupishana na magari makubwa yalio ktk speed kubwa?!Sijajua hoja yako inakaa wapi mkuu, nimetoka n Vitz RS Old model (1NZ Engine) kutoka Dar hadi Sumbawanga na kurudi bila ya shida yeyote ile.
Au umakini gani ambao unamaanisha?
hamna alïyetaka kukukimbiza mkuu.....Ninatumia hio gari mwaka wa 2 sasa......haipitishi mwezi sijakatiza bagamoyo road kulenga arusha....nimenunua ikiwa na km 35000 mpaka sasa iko na km 129000 haijawahi nisumbua zaidi ya mumwaga oil....na njian sijawahi kuwa overtaken na gari ingine.....mafuta binafsi naona ni kawaida tuu
Yani we jamaa umeniondolea stress zangu zote za leo.....hahaaaaaaaaaaa......gari hainywi supu??!!Gari linakunywa mafuta, halinywi supu.
Kunywa mafuta ndio jadi ya gari
Kweli JF ni ELIMU na RUBUDANI (in mr.Ebo's voice)Gari linakunywa mafuta, halinywi supu.
Kunywa mafuta ndio jadi ya gari