One Acre FundTafadhalini wadau naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hii "one acre fund" sijui ni kampuni au NGO maana wane iita kwenye usaili ikiwa nimesahau kama lini nili apply kazi. naomba kuwasilisha.
Tafadhalini wadau naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hii "one acre fund" sijui ni kampuni au NGO maana wane iita kwenye usaili ikiwa nimesahau kama lini nili apply kazi. naomba kuwasilisha.
hilo ni shirika lisilo la kiserikali linalosaidia wakulima wadogo wadogo kwa kuwapatia mafunzo ya kilimo cha biashara, kuwakopesha mbegu na mbolea na kuwatafautia mazao kwa mfumo wa vikundi wanafanya kazi Iringa vijijini, kilolo, ila makao makuu yao yapo iringa mjini Gangilonga linamilikiwa na wazungu katika kila idara japo malipo yao ni madogo na ya kinyonyaji makao mAkuu yao yapo kenya na nchi inakooperate ni pamoja na rwanda na wanafungua ethiopia
Kwa akili zako unafikiri kazi ya google ni kutafutia mademu tu?? ndio graduate wa siku hizi hawa
Umejuaje kuwa sio graduate??Unajuaje kuwa ni graduate? Ndio graduate wa siku hizi- speculation
Umejuaje kuwa sio graduate??
Kwa akili zako unafikiri kazi ya google ni kutafutia mademu tu?? ndio graduate wa siku hizi hawa
kwahiyo?Wewe umespeculate in a confirmatory manner as if unajua kuwa ni graduate. The bottomline is: anaweza akawa graduate au asiwe graduate-probability can be put at 50% by 50%---binary response/answer