ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Jamani tafadhali naomba mwenye kujua kuhusu hio diploma ni vyuo gani vinatoa ? Ada sh ngapi na vigezo vya kusoma hiyo kozi ni vipi?
Na Diploma Ya Optometry Ziko Poa Xana Pale Kcmc Ada Kwa Ni Laki 9 Pale Kcmc
Na Diploma Ya Optometry Ziko Poa Xana Pale Kcmc Ada Kwa Ni Laki 9 Pale Kcmc
Qulification zake vipi
Jamani tafadhari naomba mwenye kujua kuhusu hio diploma ni vyuo gani vinatoa? Ada sh ngapi na vigezo vya kusoma hiyo kozi ni vipi
kwa nini usisome clinical officer? maana ndo mama wa hizo zote!!
Bro mm wame nipeleka bachelor of science in chemistry na mkopo wamenipa bt naona kama kozi haina mashiko ndo nimeomba nafasi ya kupiga radiography pale muhas sasa nashindwa fanya maamuzi niende au vipi au niende hyo diploma
Nenda diploma ya pharmacy.Hautajutia na ada yako itarudi baada ya muda mfupi tu ukiingia kwenye system
Naona kama nimechelewa kufanya application za hyo kitu ndo maana sa cjui kwan radiography haiko poa? Zaid ya pharmacy
Bora upige Radiography ,ukikosa piga Dip in Physiotherepy. Ukipiga clinical officer itabidi usome tena AMO(Assistance medical officer) all together 5 yrs
usimpoteze bwana mdogo ww!! clinical officer wengi wako MD sasa bila kupitia AMO
Bro mm wame nipeleka bachelor of science in chemistry na mkopo wamenipa bt naona kama kozi haina mashiko ndo nimeomba nafasi ya kupiga radiography pale muhas sasa nashindwa fanya maamuzi niende au vipi au niende hyo diploma
Yani umepata degree unataka acha ukasome diploma???? Kuna umuhim sana mashulen na vyuoni kukawa na wataalam wa maswala ya uchaguz wa kazi na kozi!!!! Kuliko ufanye hivo kwann usiache uje kuomba bach mwakani??? Na kwann hutak kusoma kemia akati uliomba mwenyewe na mkopo ukapata!!!??? Tafakari bahati haiji mara mbili!!!
soma hiyo bacherol then ukimalza omba postgraduate MD au anza na diploma ya medicine