Naomba kufahamishwa kuhusu custom roms

Naomba kufahamishwa kuhusu custom roms

KeysStyr

New Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Msaada Please Nilikuwa nataka ku update kwa kutumia hii CM11 coz simu yangu ilizinguaga nikapeleka kwa fundi akaiflash sasa siwezi ku update kupitia ota.

Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya ku install hiyo custom rom.

Nimesha root tayari ,natumia LG optimus g pro/LG F240-S.
 
Msaada Please Nilikuwa nataka ku update kwa kutumia hii CM11
coz simu yangu ilizinguaga nikapeleka kwa fundi akaiflash sasa siwezi ku update kupitia
ota.
Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya ku install hiyo custom rom.
nimesha root tayari ,natumia LG optimus g pro/LG F240-S

Shida zako zote katika simu yako ya LG Optimus G Pro - XDA Forums zitatatuliwa hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom