Naomba kufahamishwa ilipo Pius Sekondari

f de solver

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
2,339
1,834
Kwa anaejua Pius sekondari ipo Mbagala sasa sijui n maeneo gani na Kama natokea ubungo naweza panda gari ngapi hadi kufika???
 
usipopata majibu, nenda kwa ofisi za elimu idara ya sekondari katika halmashauri zote za jiji, ubungo, k'ndoni, ilala, tmk, k'mboni,
 
Ipo kongowe,km kama 2 au tatu kutoka kongowe mwisho mpaka shulen.ukifika kongowe mwisho unatembea kama unaelekea kigambon kama km 3 au 2,shule ipo njian tu,utaona bango lao.
 
Back
Top Bottom