nelvine JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 1,113 Reaction score 1,878 Feb 16, 2026 #1 Habari wanajamvi, naomba kuuliza, Siku hizi nmeona Malipo ya kimtandao ya Automatic. Yaani inakuja tu Command ya Lipia Tsh kadhaa kupitia Selcom. Ina ku-command kuingiza tu Namba Ya siri Je, ii kitu ipoje na hili kuipata natakiwa nifanyaje?
Habari wanajamvi, naomba kuuliza, Siku hizi nmeona Malipo ya kimtandao ya Automatic. Yaani inakuja tu Command ya Lipia Tsh kadhaa kupitia Selcom. Ina ku-command kuingiza tu Namba Ya siri Je, ii kitu ipoje na hili kuipata natakiwa nifanyaje?