Naomba kufahamishwa bei ya Ndizi Tukuyu/Kiwira

Ismoo

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
1,048
1,468
Wakubwaa..!

Samahani kwa yeyote anae fahamu bei ya Ndizi Tukuyu/Kiwira na utaratibu unaotakiwa kufuatwa ukitaka kununua.

Pia namna ya kusafirisha mpaka Dar es salaam nauli zinakuwaje, kodi pia anae fahamu kwa kina please naomba msaada.

Natanguliza shukrani.
 
Ngoja tuwasubirie ila kuna mwamba yupo Kilimanjaro pale mto kikavu analima Sana ndizi nikipitaga natamani Sana kwenda kuoata elimu sema ndo hivyo nakosaga nafasi hio
 
Back
Top Bottom