Naomba kufahamishwa bei ya bajaji mpya na mtumba

Naomba kufahamishwa bei ya bajaji mpya na mtumba

hayolae

Senior Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
180
Reaction score
866
wana jamii forum habari za mda huu..

Kutokakana na uchumi kukaza natataka nijiajiri kuwa dereva bajaji.naombeni ushauri kuhusu hii biashara.

Pia naomba kujua bei ya bajaji used na bajaji mpya kwa anae ijua.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Bajaj mpya mpaka kuiweka barabarani inaweza ika-cost 6mil.

Kwa pesa hiyo unapata boda 3 na chenji inabaki mkuu. Aidha ukinunua kwa 1.5m utapata boda 4 mkuu.

Hesabu ya Bajaj inaweza kuwa 15-20k kwa siku yategemea na sehemu.

Ila kwa boda 3 au 4 hesabu ni 30k au 40k kwa siku mkuu.

Ambapo kwa wiki Bajaj utalaza 90k kwa siku 6.

Ila boda kwa wiki utalaza 240k kwa hizo hizo siku 6.

Kama una macho na ulione andiko hili.

Kila la heri mkuu.
 
Maelezo mazuri. Vipi ni aina gan ya bodaboda ni nzuri zaid kwa upande wa uimara, upatikanaji wa spea na unywaji rafiki wa mafuta.
 
Maelezo mazuri. Vipi ni aina gan ya bodaboda ni nzuri zaid kwa upande wa uimara, upatikanaji wa spea na unywaji rafiki wa mafuta.

Watu wengi wanazisifia Boxer mkuu. Na hata ukiangalia bei yake pia ni tofauti ni hizi Fekon, Sanlg n.k

Ila fanya kwanza research japo maduka mawili matatu kabla ya kufanya maamuzi coz kila siku kuna vyombo vipya vinaingia kiongozi.

Thanks a lot.
 
Bajaji Mpya inauzwa kati ya shilingi milioni 5-6. Unaposema mtumba nadhani unamaanisha uliyotumiwa na mtu hapa nchini, hapo bei haiwezi kutabirika lakini kwa wastani ni kati ya shilingi milioni 3-4. Chini ya bei hiyo basi itakuwa imechoka sana au muuzaji ana shida na pesa ya haraka.

Binafsi sikushauri sana ununue bajaji mtumba labda kama wewe ni fundi wa Bajaji au una uzoefu mkubwa katika biashara hiyo. Ila kama ndio unaanza itakusumbua sana.

Kuhusu faida yake kulinganisha na pikipiki, hapo inategemea na mambo haya.

1/Mazingira unayotaka kufanyia biashara. Kwenye vijiwe vya uhakika mjini, bajaji inalipa zaidi. Na bajaji inataka barabara nzuri kama za lami, kwenye barabara mbovu (Rough) pikipiki ni bora zaidi. Pikipiki inapiga kazi popote japokuwa uhakika wa hesabu wakati mwingine unazingua.

2/Matumizi yako. Kama ni bajaji maana yake utaendesha wewe mwenyewe hivyo una uhakika na chombo chako na faida yako. Ila kama ni bodaboda 3, hapo itahitaji kuajiri pia vijana na ndipo utagundua kuwa vijana wa kitanzania huenda wote wanafanana kiakili, maana utapata maumivu ya kichwa ambayo hujawahi kuyapata maishani mwako.

Je, pikipiki ipi ni bora?
Jibu ni kuwa inategemea na mazingira na tamaduni za eneo husika. Kwa maeneo ya mjini, Boxer ndio utamaduni wake(Luxury, haina mlio mkubwa, haina moshi mbaya, inatumia mafuta kidogo, ni ghali zaidi kuinunua na spear zake ni ghali zaidi).

Kwa maeneo ya nje ya mji, vijijini nk. Kinglion au Fekon ndio mpango mzima. Inapiga mzigo wa hatari na haichoki, ni punda wa kichina.
 
kuna sehemu umekosea! Bajaj ni brand name, na wanahusika na kutengeneza pikipiki aina ya boxer,platina, pulsar,bajaj n.k
- Ungedema pikipiki ya matairi matatu(three wheelers) maana zipo kampuni nyingi ukiachana na hao bajaj mfano: TVS
 
Anaye Fanya hii biashara atirieike hapa tupate somo haya karibuni
 
kuna sehemu umekosea! Bajaj ni brand name, na wanahusika na kutengeneza pikipiki aina ya boxer,platina, pulsar,bajaj n.k
- Ungedema pikipiki ya matairi matatu(three wheelers) maana zipo kampuni nyingi ukiachana na hao bajaj mfano: TVS
Ange sema tri- cycle ndo jina kitaalam
 
Bajaj mpya mpaka kuiweka barabarani inaweza ika-cost 6mil.

Kwa pesa hiyo unapata boda 3 na chenji inabaki mkuu. Aidha ukinunua kwa 1.5m utapata boda 4 mkuu.

Hesabu ya Bajaj inaweza kuwa 15-20k kwa siku yategemea na sehemu.

Ila kwa boda 3 au 4 hesabu ni 30k au 40k kwa siku mkuu.

Ambapo kwa wiki Bajaj utalaza 90k kwa siku 6.

Ila boda kwa wiki utalaza 240k kwa hizo hizo siku 6.

Kama una macho na ulione andiko hili.

Kila la heri mkuu.
Bajaji inadumu kuliko boda
 
Upande wa pikipiki napenda kutoa ushauri, pikipiki ya mkataba ni nzur sana kuliko ya esabu ya kila siku, mara chache sana au hadimu sana kupata hasara kwenye pikipik ya mkata, mfano unanunua pikipik then unakubaliana na kijana akuletee kiasi flani cha pesa ndan ya mda flani pikipik inakua yake, mfano kila siku anakulete 10000 kwa mda wa miezi 12 kwa makadirio itakua ml3.6 kama pikipiki ulinunua ml1.5 faida n 2.1 l, ndo biashara yangu hii, inalipa, boxer kwa upande wa mjini mpka 15000 per day ndan ya miez 10
 
Mkataba mnaingia mnaweza kuhusisha mpaka office ya mtaa/kijiji na sheria zake mnawekeana pande zote mbili,
 
Bajaj mpya mpaka kuiweka barabarani inaweza ika-cost 6mil.

Kwa pesa hiyo unapata boda 3 na chenji inabaki mkuu. Aidha ukinunua kwa 1.5m utapata boda 4 mkuu.

Hesabu ya Bajaj inaweza kuwa 15-20k kwa siku yategemea na sehemu.

Ila kwa boda 3 au 4 hesabu ni 30k au 40k kwa siku mkuu.

Ambapo kwa wiki Bajaj utalaza 90k kwa siku 6.

Ila boda kwa wiki utalaza 240k kwa hizo hizo siku 6.

Kama una macho na ulione andiko hili.

Kila la heri mkuu.
Hongera mkuu kwa moyo wa maendeleo ya wengine
 
Watu wengi wanazisifia Boxer mkuu. Na hata ukiangalia bei yake pia ni tofauti ni hizi Fekon, Sanlg n.k

Ila fanya kwanza research japo maduka mawili matatu kabla ya kufanya maamuzi coz kila siku kuna vyombo vipya vinaingia kiongozi.

Thanks a lot.
Shukran mkuu. Nmepata ktu
 
Bajaji inadumu kuliko boda

Lengo sio kukaa na chombo mpaka kikufie mkononi ndugu.

Unaweza ukakaa na chombo hata mwaka 1 tu hope hela utakuwa umerudisha na chombo bado kinakuwa kipo vizuri kiasi kwamba ukimpata mteja akikiangalia chombo wala haongei mara 2 anakupa pesa bila ya utata ndugu. Inakuwa hela yako umerudisha na chombo unakiuza unaongeza chombo kingine.

Na pia, sio kukaa na chombo mpaka kikufie mkononi ni kama alivyobainisha mkuu hapo juu kuwa, unaweza ukaingia mkataba na kijana baada ya mwaka pikipiki inakuwa ni yake kwa hiyo lazma atakitunza chombo kwa kuwa anajua atakimiliki baada ya mwaka mkuu.

Karibu sana.
 
Back
Top Bottom