Mwambie we sio ATM SMART CARD. Na akukome kukufaham
Subiri msimu wa sikukuu upite umtongoze upya.
Hili linamhusu mzazi wako wa kikeJaribu kuwauliza wazazi wako ilikuaje upande wao.
Mkuu uwa unanikosha sana na style yako ya kumwaga thanks kwenye comments zako..Nimekupenda bureAaahhaaaaa... Thanks.
Hivi nyie ambao mko na wenzi wenu katika maisha, wakati mnatafutana baada ya wiki mbili tu mliorodheshewa matatizo ya kodi, mama mgonjwa, nguo ya sikukuu na mengineyo. Nauliza hivi natamani kujua huenda hata kanuni ya kutafuta mke na yenyewe inatambua mizinga ndani ya wiki 2. Kama ni tofauti ina maana mizinga ya haraka huyo si mke?

~be second to reply~
ukiona mapenzi magumu achana nayo. ndo mapenzi hayo

ni kweli aisee. maana haya mambo yanazingua mda mwingineAu kama mapenzi magumu achana nayo fanya issue nyingine tu.nmekuelewa sanaaaa mkuu