Mimi kwa kweli , napenda mwanaume asiyezungumza yeye anafanya vitendo, maana huwa siwaamini wanaume wanaosema nakupenda maana hilo ni neno kama neno lingine ambalo mtu anaweza kutamka, ila ukipata mwanaume ambaye yeye anakuonyesha kuwa ana care, huyo kwa kweli anakuwa mwanaume ambaye ni mzuri na anakuwa hadanganyi.hilo ni wazo langu