Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,849
- 3,756
Hiki kinachoendelea kwenye taasisi zetu ni nani anafanya na anafanya kwa ajili ya nani ? Mbona mwanzo ajira zilikuwa zinatolewa nyingi sana hatukuona haya yakifanyika au kuna mabadiliko mimi ndio nimepitwa na wakati?
Nina ushahidi shemeji yangu mmoja alifuatwa hadi kwao akahojiwa na kurekodiwa kuwa aseme mama Samia ahsante kwa ajira hizi maana tumeteseka sana mtaani mama umekuja kutukomboa , je ni sahihi kufanya hivi kwa serikali?