Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

Kwani mtu unanunua Subaru ili uwe unaifanyia nini?
Matumizi ya kawaida but not racing...kuna wengine huwa wanafanya drag racing na zile za kuspine magari (doughnuts sijui wanaita)..sasa gari ukiifanyia hvyo tegemea hayo makitu kutokea
 
First thing should know.. this is a Subaru. Not a Toyota.. This is to alert you kuwa u should be ready to invest hela Kwenye swala la servicing and maintenance in general.

In comparison to cars in its class (Kama ilivyosemwa raum, IST, na compact cars nyingine) its slightly more expensive in general (fuel, maintenance)

Nadhani commenters before wamesema mengi kuhusu hii gari.. its AWD (all wheel drive) An all-wheel drive vehicle (AWD vehicle) is one with a powertrain capable of providing power to all its wheels, whether full-time or on-demand. Hii ni tofauti na 4WD, where it is applied only when needed.

Hili ni urban hatchback, not very friendly when applied to tarmac roads.. (haitaki purukushani zetu zile Za kufanya gari ndogo kuwa land cruiser.. lol)

Easy and swift handling, reliable, fuel friendly comparing to other subbies. Hii ni Kama Vitz version ya Subbie I can say...

With timely servicing and checkup, it's not one to give you problems in any coming future..

Generally, a car that makes you stand out of a crowd...

Mind you, don't be fooled by its charming and nice looks, still aggressive and fast.. makes other hatchbacks look like toy cars! That's the beauty of a boxer engine!
 
First thing should know.. this is a Subaru. Not a Toyota.. This is to alert you kuwa u should be ready to invest hela Kwenye swala la servicing and maintenance in general.

In comparison to cars in its class (Kama ilivyosemwa raum, IST, na compact cars nyingine) its slightly more expensive in general (fuel, maintenance).../QUOTE]
shukrani sana mkuu,
 
Matumizi ya kawaida but not racing...kuna wengine huwa wanafanya drag racing na zile za kuspine magari (doughnuts sijui wanaita)..sasa gari ukiifanyia hvyo tegemea hayo makitu kutokea
Mkuu katafute vitz ndo inafaa kwa matumizi ya kawaida.
 
gari nzuri sana hiyo befoward inapatikana kwa usd kama 2680 ushuru wake 4.7M na kila kitu kama 11 inakuwa mikononi kwako
 
1. Fuel consumption: Mjini tegemea 9km/L na highway 13km/L

2. Spea sio tatizo. Zipo nyingi tu mjini.

3. Ipo chini kidogo, so barabara yenye makorongo sana itakua sio vizuri kuipeleka. Ila kama tu ni barabara ya vumbi safi, inahimili....


ni range ya nini? gari bei rahisi sana hiyo below 12
 
Kwani mtu unanunua Subaru ili uwe unaifanyia nini?
Gari kuitumia kwenye racing bila kuifanyia perfomance tuning ni waste.gari za racing zina standard zake kuanzia engine,shockups na vipuri vingine,ila kwa mabrazameni wa bongo wanajua kupuliza tu na kusikilizia bunda
 
Ni gari ndogo lakini wakati unaiendesha iko stable na ina feel kama unaendesha gari ya kuaminika na imara. nimesafiri nayo Dar - Dodoma na kurudi, Dar -Mor-Dar.

Service fanya ya uhakika, kama oil tumia full synthetic ambayo hata ukiwa na toyota ntakushauri utumie(itaenda kilomita zaidi ya 6000 hadi 7000).

Spare zipo ila bei ni juu kidogo kuliko za toyota tulizozoea za miaka kati ya kuanzia miaka 10 iliyopita kwenda nyuma.

Nimeuliuza kwa sababu tu iko chini na mimi njia zangu ni changamoto ila sijawahi kujuta kuwa nayo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari kuitumia kwenye racing bila kuifanyia perfomance tuning ni waste.gari za racing zina standard zake kuanzia engine,shockups na vipuri vingine,ila kwa mabrazameni wa bongo wanajua kupuliza tu na kusikilizia bunda
Kwa hio mtu anaweza kununua wrx sti ya kuzururia tu mtaani?
 
Kwa hio mtu anaweza kununua wrx sti ya kuzururia tu mtaani?

Sio Subaru zote ni STI au za racing. Impreza, forester, outback, legacy nyingi ni standard kuliko hata hizo zenye turbo na racing. You might want to check production data.

Kuna fundi mmoja wa Subaru aliwahi kuniambia kuwa watu wengi wasiofahamu wanaziua subaru kwa sababu wanafikiri zote zimetengenezwa kwa ajili ya racing.

Gari za racing wanafanya tuning ya vitu vingi, kuanzia engine, ecu, exhaust mpaka suspension. Ila nyingi zilizoko barabarani hazina hizi mods


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Subaru zote ni STI au za racing. Impreza, forester, outback, legacy nyingi ni standard kuliko hata hizo zenye turbo na racing. You might want to check production data. Kuna fundi mmoja wa Subaru aliwahi kuniambia kuwa watu wengi wasiofahamu wanaziua subaru kwa sababu wanafikiri zote zimetengenezwa kwa ajili ya racing. Gari za racing wanafanya tuning ya vitu vingi, kuanzia engine, ecu, exhaust mpaka suspension. Ila nyingi zilizoko barabarani hazina hizi mods


Sent using Jamii Forums mobile app
Bro hayo yote uliyonieleza hapa ndio nyumbani.
 
Back
Top Bottom