Naomba kuelimishwa kuhusu gari za toyota za 'Hybrid-electric'

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,175
6,233
Nimeona kuna baadhi ya magari ya toyota na makampuni mengine yakiwa na mfumo wa engine wa hybrid, naomba kueleweshwa yafuatayo:-

1. Nini maana ya hybrid-electric engine
2.Nini tofauti yake na hizi engine nyingine kama VVT-i, Valve Matic, etc,
3.Je zinafaa kwa mazingira yetu ya Tanzania kwa kuzingatia changamoto za mafuta na ufundi?
4.Je ulaji wake wa mafuta upoje? Unatofauti na hizi nyingine kama nilizotaja hapo juu?

Nikipata majibu nataka ninunue Alphard ila ni ya Hybrid-electric engine.

Thanks.
Toyota Alphard Hybrid 2004
 
Mods naomba muunganishe thread imejirudia

cc
Invincible
Moderator
 
Back
Top Bottom