Naomba kueleweshwa majbu haya ya NACTE

Naomba kueleweshwa majbu haya ya NACTE

Joined
Jul 15, 2017
Posts
61
Reaction score
20
5222769942031b02914f090ee468342d.jpg
inakuwaj hapoh msaadah
 
hujachaguliwa mkuu
Fungua hiyo red link utayakuta maelezo zaidi
 
5222769942031b02914f090ee468342d.jpg


inakuwaj hapoh msaadah

Ukibofya hapo palipoandikwa here utaona machaguo yako
Ambayo ulichagua na bahati mbaya hukuchaguliwa kutokana na sababu mbalimbali
Bila shaka watafungua option ya kukuruhusu kuchagua/kuomba tena

Naona kwa sasa system bado haiko sawa maana imefunguliwa muda so mrefu hebu vita subira kidogo tuone
 
Apply upya tu maana hamna hata muda wa kutosha ukisubiri profile hiyo ya zamani sizani kama deadline itakusubiri mkuu
 
Back
Top Bottom