Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

jamani mwenzenu nimechanganyikiwa kabisaa, siamini macho yangu hii pesa sijui niitumieje
 
Kwahy Continues hawajapangiwa mikopo? Kwa mujibu wa taarfa yao hiyo idadi ya second batch ni mwaka wa kwanza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…