Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

miaka yote lazima waweke allocation kwenye account ya mwanafunzi na wanatoa majina(PDF) ya wanafaika wote kwanini mwaka huu hawajatoa pdf

Hizo mambo za Pdf ni mambo ya kizamani .. sio lazima Pdf ..

Hata selection za UDSM hawajatoa pdf yeyote ile kila kitu ni kwenye Account yako ..
 
Hizo mambo za Pdf ni mambo ya kizamani .. sio lazima Pdf ..

Hata selection za UDSM hawajatoa pdf yeyote ile kila kitu ni kwenye Account yako ..
UDSM mwanafunzi anaenda kulipa hela ndo apate elimu but HESLB mwanafunzi analipwa hela ndo apate hyo elimu so hawawezi kufanya vitu sawa na usifananishe
 
Mi kuna rafiki yangu kakosa mkopo 1st batch na alichaguliwa first batch mechanical engineer
hizo mambo ni bahati hakuna cha uchambuzi yakinifu wala nini. kuna dogo kapata chuo round 2 na alitokea diploma but mkopo kapata 1st batch na kala 100% kila k2 kapata
 
Mi kuna rafiki yangu kakosa mkopo 1st batch na alichaguliwa first batch mechanical engineer
Kunamambo huwa wanaangalia kutoa batch, tusubili zaidi tuone.
Ninayo PDF ya mkopo batch ya kwanza mwaka Jana.
UDSM badhi ya kozi kama
PSPA
Economic
Social Work na
Geography and environment studies
Hawakupata mkopo. But second round walipata wengi sana.
 
naskia majiya ya mkopo kwa bach hii ni majina 349 tu, mwenye kujua ufafanuzi tafadhali?
 
Afu Niwambie kitu..
HESLb, washasemaa wanufaika n Elf 54000 na ukitoaa 47305 unabaki na 6695..
Na kimsng Badru alsema wote watakao baki tutawatoa At once..
Probably Ni Batch II tuu..
We km Ni second, third, fourth, fifth year..Tulia nafasi zipo elf 40..
Huwezi kukosaa, La msng iman iweke Mbele tuu..
Sisi mwaka wa kwnz tusublie miujizaa maana 36,000 na point Kuna kuwa out of allocation..
Maombi kumbka n 92000
Hivyo msifarijiane mwambizane ukwel km Watu wazmaa
Pamoja sana mkuu, yote ni sehemu ya maisha ya kusoma. Kikubwa ni kuomba Mungu zaidi ili kila mwenye bahati yake basi apate mkopo. God is there for us.
 
Back
Top Bottom