Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,276
Kwa ufahamu wangu kidogo nadhani hii huwa inasababishwa na kiasi cha madini yaliyoko katika miamba ya eneo husika. Kama eneo lina miamba ya madini chumvi mengi basi utapata maji chumvi ila miamba haina madini chumvi mengi utapata maji baridi. Kumbuka unaweza kubadilisha maji chumvi kuwa maji baridi kwa kuregulate kiasi cha chumvi kilichopo. Kuhusu wingi wa madini na aina ya madini yanayosababisha maji kuitwa maji chumvi ngoja wakemia waje kukuelezea vizuri.Mpka sasa huwa sielewi kwanini kuna maji chumvi na maji baridi!
Naomba kufahamishwa kwanini kuwe na maji chumvi na maji baridi wakati yote yanatoka ardhini,
Kwanini isingekuwa maji chumvi pekee kwani bahari ndio imechukua % kubwa Duniani? Na ukizingatia maji yanasafiri kutoka sehem moja hadi nyingine kupitia mikondo yake....
Haya maji baridi natamani kujua kwanini yawe yabaridi, yanapatikana maeneo gani!
Nawasilisha[emoji1317]
Unabadili vipi maji chumvi kuwa ya baridi?Kwa ufahamu wangu kidogo nadhani hii huwa inasababishwa na kiasi cha madini yaliyoko katika miamba ya eneo husika. Kama eneo lina miamba ya madini chumvi mengi basi utapata maji chumvi ila miamba haina madini chumvi mengi utapata maji baridi. Kumbuka unaweza kubadilisha maji chumvi kuwa maji baridi kwa kuregulate kiasi cha chumvi kilichopo. Kuhusu wingi wa madini na aina ya madini yanayosababisha maji kuitwa maji chumvi ngoja wakemia waje kukuelezea vizuri.
Siwezi kuelezea in details ila hiyo process ipo ya kupunguza madini chumvi kwenye maji chumvi kwa ajili ya matumizi flani. Hata hapa Tz kuna project niliisikia awamu ya nne ya kufanya kitu kinaitwa Desaltilization ya maji bahari kwa ajili ya kupunguza tatizo la maji mji wa Daressalaam na jirani zake.Unabadili vipi maji chumvi kuwa ya baridi?
Desalination!Siwezi kuelezea in details ila hiyo process ipo ya kupunguza madini chumvi kwenye maji chumvi kwa ajili ya matumizi flani. Hata hapa Tz kuna project niliisikia awamu ya nne ya kufanya kitu kinaitwa Desaltilization ya maji bahari kwa ajili ya kupunguza tatizo la maji mji wa Daressalaam na jirani zake.
We jamaa[emoji848][emoji848][emoji848]Maji baridi unaimanisha nini?
Uwepo wa maji baridi unaweza ukasababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo FRIJI na maeneo yale ya njanda za baridi.
Tengua maelezo yangu sasa!