Naomba kueleweshwa kuhusu kozi hizi

Samily de cruze

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
230
680
Jaman Naomba kufahamu kozi zifuatazo:
Hivi nikisoma kozi hizi naweza fanya kazi gani
1:Human resources management
2Public sector financial management
3Public procurement and supplies management
Naomba msaada wenu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Unaweza kuwa afisa mwajiri/afisa utumishi. Unakuwa umejikita katika usimamizi wa watumishi,jinsi ya kuwapangia vituo vya kazi, stahiki zao na madaraja yao(kuongoza mchakato wa kuwapandisha vyeo katika utumishi wao).

2. Unakuwa mratibu na msimamizi wa fedha katika sekta ya umma. Katika miradi mbali mbali ya maendeleo inayofanyika unafwatilia utumikaji na kuzuia upotevu wa fedha na kuhakikisha zinatumika kiusahihi kama zilivyotengwa kwenye bajeti.

3.Unakuwa afisa manunuzi(boharia/mgavi) unahusika na manunuzi,kutunza na kusafirisha bidhaa. Manunuzi yanaweza kuwa ya vifaa vinavyotumika katika mradi wa maendeleo au vifaa na thamani za taasisi au shirika.

NB: maelezo niliyokupa kwa hizo kozi zote ni kwa uchache tu na sehemu ndogo ya kozi lkn ndani ya kila kozi kuna mapana na vitu vingi unavyosoma na maeneo ya kazi yataendana na mda husika pindi unapohitimu.
 
Sasa mkuu naweza pata naelekezo zaidi na je nikisoma procurement naweza soma kwa levels maana mimi nimeishia kidato cha nne na istoshe unanishauri nini kuhusu kusoma kozi ambayo Ina tija ndugu yangu naomba unisaidie juu ya ilo pia

Back
Top Bottom