Naomba kueleweshwa kuhusu "Government Standard Accountancy Examination"

Bhakusyobhile

Member
Aug 1, 2018
47
126
Watu mliowahi kufanya mtihani mgumu wa uhasibu wa utumishi wa umma (GOVERNMENT STANDARD ACCOUNTANCY EXAMINATION).

Je, hii ni mitihani gani? Ukimaliza na kufaulu unapata/unatunukiwa nini?

Kuna utofauti uliopo Kati ya mitihani hii na Ile ya NBAA?

Kama ni tofauti mtahiniwa atatakiwa kuwa na sifa zipi ili afanye mitihani hii?
 
Sitajibu maswali yote kama ulivyoweka, ila tofauti ninayoiona kati ya maswala ya kifedha ya serikali ukilinganisha na sekta binafsi, ni kuwa, serikali haizalishi, haifanyi biashara na hivyo haitengenezi faida au hasara.
Sasa utofauti na NBAA, ni kuwa, utakuwa unajifunza kushughulika na grants, misaada ya kifedha, ruzuku n.k., badala ya mitaji.
Pia utashughulika na budget deficits au surplus badala ya hasara na faida n.k.
 
Back
Top Bottom