Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 133
Jmn wakuu
mnisaidie jina sehemu flani hv,
iko baharini (kati ya pasific au Atlantic)
ni katikati ya maji halafu eti meli ikipita eneo lile gafla kinatokea kimbunga then hyo meli inamezwa na maji
hata Ndege zipitapo angani nazo pia huvutwa na maji
Nisaidie jaman jina la hyo sehem