Naomba kirefu cha C.C.M?

chama cha mafisadi,majambazi,kiukoo,kisultani,kurudisha maendeleo nyuma
 
Christian Church Movement....hii ndio kirefu harisi cha ccm...mwalimu nyerere alikuwa anatafuta uhuru na haki za wakristo tanzania ndipo akaanzisha vuguvugu la kutafuta haki za kuunganisha wakristo...lakini yeye ndiye akahadaa wananchi kwa kusema eti muunganiko wa asp na tanu ndizo zimeleta ccm...uliona wapi muunganiko wa maneno ya kiingereza ulete neno la kiswahili...
 
Chama cha Mafisadi/Majambazi/Magamba
 

dini ni bangi ya jamii-Karl Marx
 
ushindwe na ulegee muslims wangekuepo tz hii, hebu kuwa na mtazamo chanya n sio kukurupuka
 
Kuna mkenya rafiki yangu aliniambia kwa utani kwamba wanaiita CENTER FOR CORRUPTION MANAGEMENT! Na CDM pia ina kirefu chake
 
Central Congress of Muslims
Chama Cha Mapinduzi
Coverted Corrupt Mob
Common Conmen's Mob
Carbuncular and Criminal Movement
Cascading Carcass of Monkeys
Criminal Cabal of Men
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…